"Tulihongwa mabirika ya chai"lngiri juu Rorya

jipeni moyo tu. rorya hamuiwezi. La cairo anatoa misaada hadi kwa mtu mmojammoja. rorya hamuwaelezi kitu kwa Lameck. Halafu kwenye mikutano yenu waambieni wananchi wa rorya ujangili mliomfanyia Zitto.
 
Amina kamanda,sisi tulioko porini tunaumia tunaposikia wengine wako busy kuua chadema,tumaini pekee la wanyonge,Mungu awalipe wanachostahili.

hakika kamanda... machozi kidogo yanitoke baada kujua kuwa kunawasaliti... nikifikiria watu waliokufa, fukuzwa kazi, kuwa vilema n.k kwasababu ya harakati hizi.. alafu Leo wapumb......v wachache wanatuvuruga! aluta continua...

Leo nipo Napa Shirati nitakuja mkutanoni kamanda
 
Nimesikitishwa na machozi ya bi kizee Theresia leo kwenye mkutano wa hadhara
niliofanya ktk kijiji nilichokitaja na ndo makao makuu ya wilaya ya
rorya,wakazi wake wanaporwa mashamba yao kwa nguvu na serlkali,ukiwa na
heka nne kwa mfano ni lazima uachie mbili,bei kwa heka haiko rasmi,Mama
mmoja kachukuliwa heka tatu na kapewa sh.milion moja,anaitwa mama
John.Mbunge wao Lameck Lakairo hajali,anawafungia vioo,wapo waliofungua
kesi mahakama ya mwanza lakini wana wasi wasi mkubwa kama haki
itatendeka,wamezuiwa kulima wala kujenga,wanajuta kwa kutoichagua
chadema,nilipowauliza kwa nini hawakuipa kura,bibi kizee mmoja mjane
ambaye mume wake alikatwakatwa mapanga akasema kwa uchungu,"tulihongwa
mabirika ya chai na Lameck Lakairo"kadi 20 za ccm zilirejeshwa,kesho
niko kata ya mkoma.Katika msafara wangu kamanda wangu mmoja alipata ajari mbaya ya boda boda na akapoteza fahamu,mwingine kaumia vibaya sana,tuombeeni.

1378137_487023108060382_1249243279_n.jpg
 
jipeni moyo tu.
rorya hamuiwezi. La cairo anatoa misaada hadi kwa mtu mmojammoja. rorya
hamuwaelezi kitu kwa Lameck. Halafu kwenye mikutano yenu waambieni
wananchi wa rorya ujangili mliomfanyia Zitto.

Tumuweze mara ngapi?kama mpaka sasa tuna madiwani nane Halmashauri na ndo tunaendeleza mapambano unafikiri term ijayo itakuwaje,kadi za magamba zinarudi kama njugu mawe,ya zito wanayajuwa kuwa dogo alianza ukinyonga long time.
 
hakika kamanda... machozi
kidogo yanitoke baada kujua kuwa kunawasaliti... nikifikiria watu
waliokufa, fukuzwa kazi, kuwa vilema n.k kwasababu ya harakati hizi..
alafu Leo wapumb......v wachache wanatuvuruga! aluta continua...

Leo nipo Napa Shirati nitakuja mkutanoni kamanda

Poa kamanda wangu,ukifika tutafutane comrade,yana mwisho haya ya wasaliti na vigeu geu,tusongeni mbele.
 
Lazima tukomboe nchi kamanda, ukiona nimepigwa risasi nimekufa, kanyaga maiti yangu songa mbele, kakomboe nchi
 
hakika kamanda... machozi
kidogo yanitoke baada kujua kuwa kunawasaliti... nikifikiria watu
waliokufa, fukuzwa kazi, kuwa vilema n.k kwasababu ya harakati hizi..
alafu Leo wapumb......v wachache wanatuvuruga! aluta continua...

Leo nipo Napa Shirati nitakuja mkutanoni kamanda

How was it kamanda leo...
 
Hongera sana Komredi! Poleni waliopata ajali! Komredi hakikisha unaivuruga sana hiyo Rorya hasa kata ya Mkoma!
 
Back
Top Bottom