Sungurampole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 984
- 206
Ni kweli mkuu wa kaya anahusika kwa kiasi kikubwa sana, hilo linajulikana! Kama ingewekwa wazi Jk angetakiwa awe jela! Ndo maana wanaichafua chadema kwa sababu kama chadema wakikamata nchi Jk na Mkapa na Lowasa watapelekwa jela.
Tulishawapiga chini wakachachua, kote bara na visiwani, ushahidi tunao. Tuendelee kufanya maigizo haya?Dawa ni moja 2 nayo nikuipiga chini ccm, yote yatakua hadharani na wakamalizie maisha segerea. CHADEMA kaza buti, imebaki mkia 2 wameanza kutapatapa ccm
Dawa hapa tuhamasishe vijana kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kuru endapo likiletwa tukate ngebe za magamba wanavyosema vijana hawapigagi kura maana hawana zile kadi za kupigia kura.
Wazo zuri sana. Wakati ukifika, tunatakiwa tuanze kuhamasisha kwenye familia, jirani, ofisini, jumuia hadi taifa. Halafu tunaringa sana wakati wa kampeni tukiwa na vitambulisho vyetu!
Asante Mkuu!Hata serikali za mataifa makubwa yana siri ambazo zikijulikana zinaweza kuziangusha. Km. Uingereza na Marekani wangekuwa wanatoa idadi kamili ya wanajeshi wao waliokufa katika vita ambavyo havikuwa na umuhimu huko Iraq (kulikotokana na taarifa zisizo sahihi za kiintelejinsia), Afganistan, nk. Au matumizi/manunuzi yo yote ya kijeshi, Nina uhakika hata CDM au CUF au NCCR- zikitwaa madaraka kuna maeneo yatafanyika madudu ambayo yatakuwa ni hatari kwa serikali zao kama yatajulikana wazi. Hata vyama vya siasa vina siri ambazo zikijulikana, wanachama wangekosa imani navyo. HIVI NDIVYO ILIVYO.