GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
Mkiambiwa mna Matumizi mabaya ya Akili na mnapenda Kukurupuka mnanikasirikia GENTAMYCINE.
Hovyo kabisa....!!
Hovyo kabisa....!!
Mtu kaahidi kununua gari la kutembelea Aina ya Vitz. Ghafla unamuona kanunua Prado TX unapiga kelele?Mkiambiwa mna Matumizi mabaya ya Akili na mnapenda Kukurupuka mnanikasirikia GENTAMYCINE.
Hovyo kabisa....!!