Kwa msaada wa mwendazake. Tulia hana ushawishi wa wapiga kura hata ndani ya CCM ni anabebwa na mfumo tu
Tulia bila wizi wa kura ulioratibiwa na yule mwovu wa chato asingeweza kupata ubunge.Mbunge wa Mbeya mjini kupitia CCM, Dkt. Tulia Ackson amesema lengo la kugawanya jimbo la Mbeya mjini ni kusogeza huduma kwa wananchi na mchakato huo sio wa Mbeya pekee. Dkt Tulia aliongea hayo wakati akihojiwa na kituo cha redio cha wasafi leo asubuhi.
...
Unadanganya kwa faida ya nani? kama sio msaada wa JPM hakuna namna angeshinda lile jimbo. Hana mvuto wa kisiasa, na Kwa Sasa ndio kaharibu zaidi maana bunge kaliendesha vibaya kiasi imekua eneo la kumpongeza Rais badala ya kuibana serikali.Tulia Trust Foundation inayomilikiwa na Tulia Akson ilifanya kazi kubwa sana kumuandalia mazingira ya ushindi spika wa bung, kina mama walipata mkopo ya bira riba, vijana wa Mbeya walipewa bajaj na bodaboda za mikopo nafuu za kutosha
Tulia hakubebwa alijijenga vizuri mpaka leo Mbeya inamuimba vzr Tulia nenda kajionee
Hiyo Foundation haiwezi msaidia chochote kwenye Box la kura. Tulia hana ushawishi ndo maana unaona anaangaika hata yeye mwenyewe analijua hilo, ndo maana kaibuka na hoja ya jimbo kugawanywaTulia Trust Foundation inayomilikiwa na Tulia Akson ilifanya kazi kubwa sana kumuandalia mazingira ya ushindi spika wa bung, kina mama walipata mkopo ya bira riba, vijana wa Mbeya walipewa bajaj na bodaboda za mikopo nafuu za kutosha
Tulia hakubebwa alijijenga vizuri mpaka leo Mbeya inamuimba vzr Tulia nenda kajionee
Tulia Trust Foundation inayomilikiwa na Tulia Akson ilifanya kazi kubwa sana kumuandalia mazingira ya ushindi spika wa bung, kina mama walipata mkopo ya bira riba, vijana wa Mbeya walipewa bajaj na bodaboda za mikopo nafuu za kutosha
Tulia hakubebwa alijijenga vizuri mpaka leo Mbeya inamuimba vzr Tulia nenda kajionee
Hata yeye mwenyewe Tulia Ackson anajuwa kuwa alitoa Tsh 100,000 kwa wajumbe wote 800 wa Mkutano wa Jimbo la Mbeya Mjini ambao ndiyo waliompitisha kugombea kwa Tiketi ya CCM.Mbunge wa Mbeya mjini kupitia CCM, Dkt. Tulia Ackson amesema lengo la kugawanya jimbo la Mbeya mjini ni kusogeza huduma kwa wananchi na mchakato huo sio wa Mbeya pekee. Dkt Tulia aliongea hayo wakati akihojiwa na kituo cha redio cha wasafi leo asubuhi...
Tulia Trust imeharibu mazingira ya Mbeya. Hivi ni sahihi kweli Jiji la Mbeya kuwa na utitiri wa Bajaj kiasi kile. Inakadiriwa kuwa Mbeya Jiji kuna Bajaj takriban 10,000. Anayekopesha bajaja hizo ni ni Tulia kupitia Tulia Trust. Na hizo pesa alipewa na Magufuli.Tulia Trust Foundation inayomilikiwa na Tulia Akson ilifanya kazi kubwa sana kumuandalia mazingira ya ushindi spika wa bung, kina mama walipata mkopo ya bira riba, vijana wa Mbeya walipewa bajaj na bodaboda za mikopo nafuu za kutosha
Tulia hakubebwa alijijenga vizuri mpaka leo Mbeya inamuimba vzr Tulia nenda kajionee
Nimekuelewa SanaMatunda ya Maridhiano yameanza kuonekana.
Sugu na Tulia wameshasaini MoU kilichobaki ni heka heka za kunogesha siasa tu
Acha uongo kijana, bila mbeleko ya JPM asingetoboa kabia. Kiufupi hana mvuto wa kisiasa na hivyo unavyovitaja vina impact ndogo sana ukilinganisha na idadi ya wapiga kuraTulia Trust Foundation inayomilikiwa na Tulia Akson ilifanya kazi kubwa sana kumuandalia mazingira ya ushindi spika wa bung, kina mama walipata mkopo ya bira riba, vijana wa Mbeya walipewa bajaj na bodaboda za mikopo nafuu za kutosha
Tulia hakubebwa alijijenga vizuri mpaka leo Mbeya inamuimba vzr Tulia nenda kajionee