Sheria inamtaka aachie ngazi ya unaibu spika ndipo agombee Uspika, kwa hali hiyo yeye ni mlafi wa madaraka.Amechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Ana akili lakini kakosa maarifa na welediAmechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Anapambana Kuhakikisha Kitumbua Chake Hakidondoki Wala Kuingia Mchanga, Kaweka Viti Vyote Akikosa Kimoja Aendelee Na AlichonachoAna akili lakini kakosa maarifa na weledi
Hivi UVCCM hawalioni hili?Anapambana Kuhakikisha Kitumbua Chake Hakidondoki Wala Kuingia Mchanga, Kaweka Viti Vyote Akikosa Kimoja Aendelee Na Alichonacho
Ccm Wangembana Aachie Vyote Ndiyo Aombe
Wanaona Ila Hawana Kauli, Hata Kama Sheria Haisemi Lolote Alitakiwa Aachie KwanzaHivi UVCCM hawalioni hili?
Zaidi ya uroho wa madaraka bunge atakaloliongoza litakuwa rubber stampAmechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Mbona walikuwa na kauli kwenye ishu ya Ndugai hadi akajiuzulu.Wanaona Ila Hawana Kauli, Hata Kama Sheria Haisemi Lolote Alitakiwa Aachie Kwanza
Wakifanya Hivyo Itakuwa Sawa SawaNi mroho haswa bilashaka watamchinjia baharini kwenye usipika.
Weeeee, hujui lawlessness nature of CCM ??!! 🤣Ni mroho haswa bilashaka watamchinjia baharini kwenye usipika.
Twambombo? Bhaana bakafu?😀Anatuchafua wanyakyusa,watasema kwetu kuna njaa kumbe matoki kedekede
Hakuna ubaya kwa mtu yoyote to aim higher, kitu cha muhimu ni kufuata katiba, sheria, taratibu na kanuni.Amechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe.
Huyu ni mwalimu wangu wa sheria pale UDSM, kiukweli kwenye hili, mwalimu wangu amechemsha!. Alipaswa ajiuzulu kwanza u naibu spika ndipo agombee u spika!. Mimi huu nimeuita ubatiliAnasema, “kwa mujibu wa katiba waliotajwa kutogombea uspika ni Mwaziri na watu wenye madaraka ya umma”, kwani cheo cha Naibu Spika sio madaraka ya umma?,
This is not rightvile vile anasema, “hata kama nimechukua fomu si kwamba kiti cha Naibu Spika kiko wazi, hapana”. Ina maana anazuia wengine kugombea U Naibu Spika hadi ajihakikishie ameupata U Spika.
Sio haki yake na sheria inazuia, ila wanaopaswa kumzuia Tulia, wamenyamazia!.Sawa pamoja na kuwa ni haki yake na sheria haimzuii kufanya hivyo,
Ili mtu atumie busara, kitu cha kwanza ni hiyo busara yanyewe kwanza iwepo kisha ndipo itumike!. Kama hiyo busara yenyewe haipo, kwa mtu kama huyo unategemea nini?.angeonekana ni mtu mwenye busara na hekima kama angesema, kama ni kuwatumikia wananchi kwa hadhi niliyonayo inatosha sana, lkn kwa kitendo alichofanya machoni pa watu anaonekana ni mtu dhaifu na mwenye tamaa.
Wanaopaswa kumzuia Tulia wametulia!!🤣, huyu Dada anajua kutuliza watu kishenzi.Sio haki yake na sheria inazuia, ila wanaopaswa kumzuia Tulia, wamenyamazia!.
Huoni soni ku declare kwamba huyo alikuwa Mwalimu wako??!!, ulifundishwa na Caput??!!🤣Huyu ni mwalimu wangu wa sheria pale UDSM,