Tukutane tena baadaeee!!!

Tukutane tena baadaeee!!!

sakapal

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
1,804
Reaction score
1,425
Tukutane tena baadae, mahali palepale
uje nikupe tena baadae
nakupenda kama ringtone, huna maringo na swaga zako ziko simple, kitandani unanipa masham sham
kila mara uko nami, raha zote wanipa, umenichanganya nadata.........
unang'ara bila lotion usikose kuja baadae, nitakungoja baadae
wewe ni mtamu, mkali wa mitindo, sitaki nikukose matjiri wakanipora
penzi langu sio botion mimi ndie mume bora
wananifanyia mishen ili unitose, tukutane tena baadaaaeeeeeee, baaadaaaeeeeeeh................

Jamani leo nasherehekea siku yangu ya kuzaliwa nilipomwambia partner wangu akaniimbia hayo maneno kwenye simu na kunisisitiza nisikose kwenda baadae, ninahamuje.......?
Hapa nilipo natabasamu tuu kila mara nikisubiri hiyoo baadae ifike
nnashauku kama bata wa porini...........
wish me luck jamani
BAADAAAAAEEE.........

http://www.youtube.com/watch?v=VgOKrc3QrpY&feature=player_detailpage#t=80s
 
Dah . . . . . . . . . . . . !!!!
 
Ikimbie zinaa...!

sifanyi zinaa na partner wangu tumehalalishwa na mungu na serikali, tumeunganishwa na mungu mwanadamu hajatutenganisha so sizini baba_ enock nakula haki yangu baadaaaeeeeeeee ntakuwa naeeee
 
wehu mtupu

hujakosea niko kama nimedata hivi baada ya kuambiwa maneno haya matamu na partner wangu yaani nayaskia kila saa na natabasamu tuu leo nilivonafuraha hapa job watu wote nimewapa lunch mie nangoja baadaaaa kukutana na partner wangu baaadaaaeeee
 
Kitambo sijapata mashamu shamu kama hayo! Ok, siku ya kuzaliwa njema na Mungu akuzidishie uwe na maisha marefu na mzidi kupendana.
 
259157,xcitefun-happybirthday.gif
 
Happy birthday sakapal...enjoy the day mwaya!!!
:cheer2:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom