yaah !enjoy mamiie!its ur day!asante snowhite nashukuru ntajitupiamo na mavitu kama haya baadaae nikikutana nae
sasa mmehalalishiwa kimbalimbali tena , na walivyowahalalisha hawakukuambia wamembadilisha jina kua mme, na we mke, au uhalali gani huo unaouzungumzia
heee Tamatheo mwenzako jinsi ninavokua nazidi kuwa kijana na mtoto sizeeki ng'ooo
ukibahatika kuniona ndo utajua nisemacho
watu kama wewe huwa mpo kwenye jamii kuleta changamoto sio wa kwanza wala wa mwisho kuleta challenge kwenye jamii