namba force
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 758
- 434
Wale wa mishahara naona wanacheka Kwa mbali sanaaaa. Wameingiziwa mapema sana mwezi huu.
Wacha utani jombaa. Tukadai madeni sasa
Mmeanza mbwembwe, bila shaka umefulia hatari unatafuta habari ila ni mapema mno tarehe bado mkuu.
Tayar kachekJaman hebu semen vizur kitu tayar au jokes
Tayar kachek
Afande naona huna hela sasa unatafuta taarifa. jifunze kuwa na chanzo cha mapato mbadala. sasa ona unavyoteseka kufikiria mshahara tarehe hiziWale wa mishahara naona wanacheka Kwa mbali sanaaaa.Wameingiziwa Mapema Sana mwezi huu
Kwa namna ulivyocomment nishajua kazi yakoMmeanza mbwembwe, bila shaka umefulia hatari unatafuta habari ila ni mapema mno tarehe bado mkuu.

Mbona ile meseji pendwa haijaingia?Tayar kachek
@Demiss kwani unafanya kazi kwa mecco?Jaman hebu semen vizur kitu tayar au jokes