tukutane apa

newbiee01

Senior Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
100
Reaction score
23
Wale waliochaguliwa kozi ya thearter and film udom tufamiane apa
 
mkawe wabunifu na kutumia teknolojia za juu. sio mnatutengenezea filamu za maigizo.. elimu yenu iwe chachu kwenye industry ya filamu
 
labda mtakuwa madirector wazur maana cku hizi wanarekodi bongo movie kwa kutumia CM

Yaani garama yao ni chaji tu.
 
labda mtakuwa madirector wazur maana cku hizi wanarekodi bongo movie kwa kutumia CM

Yaani garama yao ni chaji tu.
😂watakua wanapata faida sana aisee

lakini nahisi kinachowagharimu ni kukosa elimu wengi wao wale maarufu ambao kichwani ni weupe.
 
now kuangalia bongo movie mpaka kichefu chefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…