Tukutane 8/8 igoma

Tukutane 8/8 igoma

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,618
Wana UMM hamjambo?

Baada ya kushiriki usafi wa jiji langu la Mwanza leo kuanzia saa 1:00 hadi saa 3:00 asbh nimekuwa busy na mambo mbalimbali yakiwemo ya kisiasa na habari nyingine kedekede. Kwa sasa nalianzisha kuelekea nane nane - Igoma / Nyamhongoro ambapo nimejulishwa kuwa kuna mambo mengi ya kujifunza hasa yanayohusu kilimo. Sitokuwa mchoyo, yale nitakayoyakuta huko nitarejea tena hapa majaliwa kesho au Jumatatu kuwashirikisheni,
Kwa wale mlioko Rocky city tafadhalini tutafutane japo kwa muda mfupi tufahamiane, NDO HIVYO IKIFIKA SAA 07:30 NITAKUWA NDANI YA VIWANJA HIVYO. Ni-PM tupeane contact ili tutafutane huko.
 
Hamsemi eh! Powa nasema, nicheck kwenye namba hii ......
 
Nimeimiss sana Rocy City wajameni. Vipi siku hizi kuna viwanja gani vipya vya kujirushiua? Maana nina miaka kama saba hivi sijakanyaga huko.
 
Hakuna kipya zaidi ya wale ngombe nyati wa mabuki na utititri wa waganga matapeli wa kienyeji waliojazana kwenye mabanda kila mwaka
 
hongera zao watu wa igoma

Dah, Igoma naikumbuka kwa sababu ya Madam "Ticha" :angel:
Mwanza, nitarudi tena...
 
Tutor B nimetoka nane nane dodoma, nimefurahi sana, nimeenda banda la brela nimepewa majibu safiii ya maswali yangu. nimeenda banda la wakala wa vipimo napo nimefurahi sana, pia nikaenda sayansi na teknolojia, nikaishia kuangalia wanyama

kisha nikarudi zangu home
 
Last edited by a moderator:
Wana UMM hamjambo?

Baada ya kushiriki usafi wa jiji langu la Mwanza leo kuanzia saa 1:00 hadi saa 3:00 asbh nimekuwa busy na mambo mbalimbali yakiwemo ya kisiasa na habari nyingine kedekede. Kwa sasa nalianzisha kuelekea nane nane - Igoma / Nyamhongoro ambapo nimejulishwa kuwa kuna mambo mengi ya kujifunza hasa yanayohusu kilimo. Sitokuwa mchoyo, yale nitakayoyakuta huko nitarejea tena hapa majaliwa kesho au Jumatatu kuwashirikisheni,
Kwa wale mlioko Rocky city tafadhalini tutafutane japo kwa muda mfupi tufahamiane, NDO HIVYO IKIFIKA SAA 07:30 NITAKUWA NDANI YA VIWANJA HIVYO. Ni-PM tupeane contact ili tutafutane huko.

Dah mkuu mm ingawa si mkazi wa Rocky city nilikuwa mwanza kikazi basi leo asubuhi naenda zangu Musoma kuwasalimia wazazi asubuhi saa moja ndo nikacheki vibanda pale igoma vipo white nimegeuza jion hii naona watu wapo kibao kama vipi Ni PM mkuu tuwasiliane mimi nipo hotel moja hapa town kesho mchana nageuza Dar!
 
Nimeimiss sana Rocy City wajameni. Vipi siku hizi kuna viwanja gani vipya vya kujirushiua? Maana nina miaka kama saba hivi sijakanyaga huko.

2013-7 = 2006 Duh, kitambo mtu wangu,

Golden Crest, Malaika, Villar Park, The stone, La-Kairo, kwa kweli ni vingi sana viwanja vipya, labda nambie ulikuwa unapendelea kukaa viwanja vipi na vya hadhi ipi na kampani zipi
 
Hakuna kipya zaidi ya wale ngombe nyati wa mabuki na utititri wa waganga matapeli wa kienyeji waliojazana kwenye mabanda kila mwaka

we hujaenda, kama ulikuwa na interest za akina Kalumanzila ndo maana uliwaona wao wengi, lakini sisi ambao tunahitaji kujifunza toka kwa wajasilamali waliofanikiwa katika kilimo yapo mengi ya kujifunza.
 
Tutor B nimetoka nane nane dodoma, nimefurahi sana, nimeenda banda la brela nimepewa majibu safiii ya maswali yangu. nimeenda banda la wakala wa vipimo napo nimefurahi sana, pia nikaenda sayansi na teknolojia, nikaishia kuangalia wanyama

kisha nikarudi zangu home
Safi sana rafiki, tatizo wabongo wanahitaji kuona wanenguaji na wanamuziki wa kizazi kipya tu, hawataki kujifunza mambo ya ukulima kwani kwao kilimo ni kama adhabu.
 
Tutor B, kesho nitakuwa 8 8 nyamhongolo, nitakutafuta
 
Back
Top Bottom