Tukupe wizara gani?

Tukupe wizara gani?

Dr Aluta

Senior Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
121
Reaction score
39
habari wana jf, assume mr prezdent amekutunuku nafas ya uwazir kisha akakupa option uchague unataka wizara gan! kwa mtazamo wako ungekaa wizara ipi? na kwa sabab zip? hilo moja.

Jjambo la pil nilitaka mchanganuo kutoka kwako katika awamu ya 4, ni wizara gan yenye mafanikio na ipi imefel katika utendaj wake.

Conclusion ionyeshe maboresho ya nin kifanyike.

Nakaribisha mawazo yenu.
 
Hoja ni nzuri sana, tatizo ukijua style ya watanzania katika kudeal na issues majibu yako yatakuwa magumu kweli kweli kuyapata kwa sasa.Linapokuja kuwa ni swala lina husu watu...haaa ungeona utitili hapa.Lakini kwa kuwa ni maswala wengi wako Dodoma..
 
dah kwel mkuu cjui kwa nin tz tuko hiv!
 
dah kwel mkuu cjui kwa nin tz tuko hiv!
Ni swala la kihistoria na kidogo hata Mwalimu alijaribu sana kulifanya lisiwe na nguvu lakini umri nae ulimtupa mkono.Na tatizo hili kubwa linachagizwa na tamaduni..ukizingatia ofisi kuuza serikali ziko kwenye JIJI la DAR ambako kuna utamaduni wa wakazi wa maeneo ya pwani.Unaweza kuona kwenye medani ya michezo na habari za udaka zinazohusu watu direct kidogo huko majibu yako haraka sana...
 
inasikitisha sana
 
inasikitisha sana
Ni kweli inatisha ndio maana ukitafuta mwaanasiasa kwa ushawshi wa watu hakika Nchi itaingia shimoni..great thinkers inawapas akufikilia sana sana kutoa majibu sahihi huku wakiendana na matarajio ya Wananchi hao hao ambao mara nyingi Keen issues kwao wao huwa ni petty issues na petty issues huwa ni keen issues.

Mfano si ajabu mtu mzalendo kweli kweli kwenye ofsi yake yenye masilahi ya KIFISADI akawa hapokei Rushwa, walio mzunguka wakiwemo na ndugu zake watampa majina mengi ya hovyo hovyo kama UTAKUFA MASKINI, MALI YA BULE, MJINGA, UANCHEZEA BAHATI, na mengineyo mengi.Ikiwa ni ishara ya kumuona HAFAI kwa kuwa ACHUKUI RUSHWA.Sasa yule anaepokea Rushwa uonekana mjanja ndiye mwenye fikra nzuri na anaona mbali...na kwa mawazo hayo tunasema NCHI HAINA VIONGOZI NA HAINA MAENDELEO ....Leo watu wanashabikia viongzoi wenye mawaa waingie madarakani !!
 
Back
Top Bottom