Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Hajasaidia nchi hata kidogoKuna siku alipata ajali, akatoka mzima na akanena"nilivyonusurika na niliyoyaona ni siri yangu" namshukuru Mungu. Ndio ligonjwa la ajabu likamjia kiaina, bado anapeta. Nampongeza mwamba Mwakiembe.
Haiwezekan akakosa jambo lenye faida walau dogo ktk nyadhifa zote alizoshikaHajasaidia nchi hata kidogo
Huyu jamaa itakua poa sana akiandika kitabu kuhusu yaliyomtokea na aliyoyafanya tangu kuanza kwa utawala wa mkwere mpaka alipoondoka madarakan nadhan kipind hicho kwake kilikua na mambo mengi mnoKuna siku alipata ajali, akatoka mzima na akanena"nilivyonusurika na niliyoyaona ni siri yangu" namshukuru Mungu. Ndio ligonjwa la ajabu likamjia kiaina, bado anapeta. Nampongeza mwamba Mwakiembe.
Taja sasaHaiwezekan akakosa jambo lenye faida walau dogo ktk nyadhifa zote alizoshika
Huyu jamaa ni moja ya wasomi wa hovyo kabisa walioamua kuweka matumbo yao mbele na elimu nyuma. Mpaka kuangushwa ubunge alikuwa ameshakuwa kituko mpaka watu wakadhani akili zake zimekuwa affected na ugonjwa alioumwa. Huyu na Lipumba (vu) ni aina moja.Taja sasa
Tuna mfumo wa hovyo kabisa ambao unaharibu watu sababu ya njaaHuyu jamaa ni moja ya wasomi wa hovyo kabisa walioamua kuweka matumbo yao mbele na elimu nyuma. Mpaka kuangushwa ubunge alikuwa ameshakuwa kituko mpaka watu wakadhani akili zake zimekuwa affected na ugonjwa alioumwa. Huyu na Lipumba (vu) ni aina moja.
Hakuna kitu cha maana ataandika zaidi ya ujinga tupuHuyu jamaa itakua poa sana akiandika kitabu kuhusu yaliyomtokea na aliyoyafanya tangu kuanza kwa utawala wa mkwere mpaka alipoondoka madarakan nadhan kipind hicho kwake kilikua na mambo mengi mno
Ajiajiri kama msemo waoAlisema hawezi shauriwa na darasa la saba akasahau darasa la saba ndo wajumbe wenyewe.
Treni inayoenda Gongolamboto mpaka leo inaitwa treni ya mwakyembe baada ya kuifufua kwa jasho na damu.Huyu jamaa ni moja ya wasomi wa hovyo kabisa walioamua kuweka matumbo yao mbele na elimu nyuma. Mpaka kuangushwa ubunge alikuwa ameshakuwa kituko mpaka watu wakadhani akili zake zimekuwa affected na ugonjwa alioumwa. Huyu na Lipumba (vu) ni aina moja.
Alifufua usafiri wa treni dar ulio kuwa umekufa kabisa ,na mpaka Sasa unafanya kazi vema.Haiwezekan akakosa jambo lenye faida walau dogo ktk nyadhifa zote alizoshika
True ana mengi kabla ya Utawala wa meccoHaiwezekan akakosa jambo lenye faida walau dogo ktk nyadhifa zote alizoshika
Hawawezi kuishi nje ya Mshahara hata uwape bilioni 26 kama mafao.Ajiajiri kama msemo wao
Wamezoea kufungiwa mikanda kwenye magariHawawezi kuishi nje ya Mshahara hata uwape bilioni 26 kama mafao.
Kuna mmoja alipata bilioni 10 mafao na wizi alikaa miaka 5 baada ya kustaafu zilikwisha zote na kufa juu.
Alitumbua weee eti zimefika milioni 700 ndo anaenda kununua Mchele wa milioni 700 wakamchanganyia akapiga short mbaya.
Biashara ya Mchele ni biashara za watoto wanao jifunza ujasiliamali.level ya B inatakiwa ufanye investment na sio business.
Na kupigiwa saluti.Wamezoea kufungiwa mikanda kwenye magari