Tukumbushane vipindi vya ITV, CTN, na DTV 1994

Hyo rinorenz 21jumpstreet umenikumbusha mbali sana ndugu yangu natamani one day virudiwe big up mkuu kwa kunikumbusha ujana
 
Tausiii ndege wanguu!!ndege wangu wa fahari!

Nakumbuka sinta binti Kasri alivyokuja dar kwao pale kwa manjunji M/mala watu tulivunja ukuta kwenda kumshangaa...!!

Asante mleta Uzi!
Hahahah!! Nakumbuka lile tukio liliweka gumzo haswaaa sinta kutua dar... Kipindi hicho bado ni dogo janja ati nlikuwa siamini kama kweli ametua dar, niliona kama miujiza fulani isiyosadikika hahahahah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…