Tukumbushane tu wasanii ambao game limeshawaacha ila wao kama bado hawajijui

Team domo utawajua. Hapo lengo ni konde-boy,kupoteza maboya ukamweka mwisho. Fanya yako.
 
Nilitegemea kukuta majina kama inspector Haroun, Mansu Li , Ferouz, TID, GK , ABDUL KIBA, TUNDAMAN , MAKAMUA etc badala yake umeweka list ya wasanii ambao bado wapo sana kwenye game... jealous or something??

Huyo bado mtoto wa juzi tu ,hao wasanii hawajui kabisa,
Baada yankishabikia mziki yeye anashabukia mtu.

Watoto wa wcb hao akili zao ziko nyuma
 
Back
Top Bottom