Tukumbushane tu wasanii ambao game limeshawaacha ila wao kama bado hawajijui

blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
10,704
12,927
Sio vibaya hawa wakijipanga sehemu nyingine. Muziki ushawaacha.

1. Fid Q
Si vibaya ukapumzika. Maisha sio music pekee.

2. Joh Makini
Samahani. Inauma lakini ndo ukweli.

3. Mwana FA
Kaka umebaki na fan base tu ambayo ni jina tu linakubeba. Concentrate katika biashara. I hope you are doing good there.

4. Dully Sykes
We nafikiri wala huitaji kukumbushwa. Umeshajitoa mwenyewe.

5. Ney Wa Mitego
Huyu bro hata Kiswahili hajui.

6. Nikki wa Pili
Nashukuru pia huyu kashasanda mwenyewe.

7. Prof. Jay
Mh. endelea na siasa tu. Muda ushakutupa.

8. Ali Kiba
Huyu naye nafikiri kashasoma alama za nyakati.

9. Konde Boy
Nasikitika kumuweka kijana huyu katika orodha hii.

Nitakuja na orodha ya wanawake baadae. Uzi huu ni kiroho safi tu. No beef no meat.

Povu ruksa. Unaruhusiwa kubadili orodha.

UPDATE 1. WANAWAKE WANAOPOTEZA MUDA KTK TASNIA ILHALI ISHAWAKATAA. WAFANYE MENGINE.

1. Ray C.
Dada yetu mpendwa ulifanya mengi.. Ulijimaliza mwenyewe.
Pole.

2. Lady Jay Dee.

Ni ngumu sana kukutaja legendary kama wewe ktk orodha hii. Nisamehe.

3. Mwasiti.
Gone too soon. Najua si mapenzi yako. Fanya mengine.

4. Rosa Ree..
Bangi zinakupeleka kubaya... Mziki ushafeli. Unakera. Unaimba upuuzi.

5. Ruby..
Course ulosomea college jaribu ikupatie kazi.. Usha potea kwwnye mziki. Huwezi.

6. Giggy Money
Huyu kashajielewa.. Alikuja ktk tasnia hii kudanga tu.

7. Lulu Diva
Acha ...Achaa.. Acha kabisaa... Hujitambui na hujielewi. Music is Passion.

8. Mimi Mars...
Urembo wako unakubeba.. Ila mweupee. Shukuru pia Unaegemea nyota ya Sister.

9. Nandy...

Nasikitika nawe upon ktk orodha hiii...
Unatumika..then utatupwa ka makombo.

Kesho nitakuja na Young Super talents... Rising Stars. Doing Good..

No beef No meat..
 
Hapo kwa Mwana FA, Fid Q na Professor Jay hujawatendea haki kuwapo kwenye list yako coz Mwana FA katoa ngoma inaitwa 'endelea tu' na imefanya vizuri wakati PJ, ingawa ni mbunge lakini akiachiaga ngoma huwa inafanya vizuri ila hao wengine umepatia kuwepo kwenye hiyo list.
 
Hapo kwa Mwana FA, Fid Q na Professor Jay hujawatendea haki kuwapo kwenye list yako coz Mwana FA katoa ngoma inaitwa 'endelea tu' na imefanya vizuri wakati PJ, ingawa ni mbunge lakini akiachiaga ngoma huwa inafanya vizuri ila hao wengine umepatia kuwepo kwenye hiyo list.
Hapana unajua hao wote hawapati return kwenye huo mziki na ndo maana ya kupitwa na wakati licha ya ngoma zao kufanya good,wamebakiza fan base kubwa lakini mda umeisha ok.Ko mtoa maada naona yupo correct for my side
 
Back
Top Bottom