Tukumbushane: teanage Love

miss chagga, hiyo miongo miwili na nusu ndo kujiita mzee...acha zako wee bado m'bichiiii
 
Last edited by a moderator:
Yakale dhahabu. Hakika ni upendo wa kweli japo umri ndio unatatiza kwa fikra.
 
Mi naoogopaa mama atajua alafu na nikpata mimbaje, nisubrie baadae kuleee ile njia ya kicman, demu kuangalia chini huku aking,atang,ata vidole,kucgina chni na kupachorachora,kuchuma majani majani. Ha ha haab mpk raha jmn kweli huko nyuma kulikuwa kuzur love poem kibao. Xku iz mwatazamana macho kwa macho,ukmpindua hivi dk 0 kakupndua, au uambiwe acha longolongo we sema una sh ngapi au kama vp chapka ucniwekee jam nj.
 
Ha!Ha!Ha! Wanikumbusha Mbali Sana Mkuu, Nikikumbuka Na Enjoy Sana
 
dah..... sitasahau!

barua niliyoandika kipindi namfukuzia mrembo wangu wa darasa la saba wakati niko la sita,

mpaka leo haijajibiwa!!!!!!!

nimepiga moyo konde... nimesikia mrembo wangu yuko ifm kwa sasa!

almost 9 years now!
 
Ha!Ha!Ha! Nenda Kaidai Mkuu, Labda Bado Anakufikilia. Usikate Tamaa
 
Ha!Ha!Ha! Nenda Kaidai Mkuu, Labda Bado Anakufikia. Usikate Tamaa

mkuu seriously nimemsaka mpaka fb.. nakwambia anazidi kupendeza!!

nimemtumia friend request.. mmh! ni mwezi wa tatu sasa sijajibiwa!!
 
mkuu seriously nimemsaka mpaka fb.. nakwambia anazidi kupendeza!!

nimemtumia friend request.. mmh! ni mwezi wa tatu sasa sijajibiwa!!

Kweli Majanga Mkuu, S/msingi Ulikuwa Kilaza Nini? Maana Mi Madem Msini Niliwakosa Sababu Ya Ukilaza Wangu
 
Kweli Majanga Mkuu, S/msingi Ulikuwa Kilaza Nini? Maana Mi Madem Msini Niliwakosa Sababu Ya Ukilaza Wangu

Mmmh!! hapana.. p/school nilikuwaga mmoja kati ya best students.. ila tatizo lilikuwa kwamba sipati muda wa kuongea nae!

nakumbuka siku moja niliagizwa kwao, mmh! nilitamani nisiondoke! yani alikuwa akiniangalia usoni, mi nahisi niko paradise..!!

basi bana siku hiyo nilimpata zawadi ya dinner yangu...!! binti kajilia chapati sincerely, then nikamuaga nikaondoka na maumivu moyoni!
 
Duh!tokea primary?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…