kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,152
- 15,798
Unaweza kutapika mkuuMnakula mtu anaanza kuongelea vitu vichafu kama vya msalani, matapishi au vilivyooza
Wa ushuani mada haiwahusu mkuuWatoto wa ushuani hawajui ulisemalo
Mbaya zaidi anaendelea kulaMnakula pamoja halafu jamaa analamba lamba vidole vyake aaah.
πππ ππ-Mnakulaa pamojaa kwa makusudi mtu anajambaa
Nimekumbuka kabisa babu yangu, RIP wajina wangu
Chakula kikija yeye ananza bakuli la mchuzi, anakunywa kwanza hadikifike kiwango akitakacho then ndio mnaanza kula.
Wazee wazamani miyeyusho kweli...
Ukiona hvo ujue kashibaMnakula pamoja alafu mtu anakomba mboga na anaona kabisa ugali mkubwa hatuonani upande wa pili