B/math kipindi linaitwa HESABUBinafsi nilipenda sana sayansi kimu hasa ikifika muda wa kupika shuleni tumepika sana pale nyanza primary.
How can somebody you don't know lie to you? Are you a ghost or something?Oh!...really?...unatudanganya!
How can somebody you don't know lie to you? Are you a ghost or something?
Mkuu wewe kama mimi.Geography
Hesabu na sayansi nilikuwa napiga 50/50 nikushuka sana 48/50Binafsi nilipenda sana sayansi kimu hasa ikifika muda wa kupika shuleni tumepika sana pale nyanza primary.
Hakuna zaidi ya Somo la Mwandiko wengi wetu tulivyojua kuandika Nyumba za watu zenye ukuta mweupe zilichakaa kwa mkaa !! Kitambo sanaBinafsi nilipenda sana sayansi kimu hasa ikifika muda wa kupika shuleni tumepika sana pale nyanza primary.
Halafu ukawa Engineer!!Hesabu na sayansi nilikuwa napiga 50/50 nikushuka sana 48/50