Tukumbushane somo ulolipenda shule ya msingi

Tukumbushane somo ulolipenda shule ya msingi

Hesabu

Nimewasumbua sana watoto wa Pamba Primary kwenye pepa za kirafiki nikiwa Mabatini P/School
 
Hesabu nilianza kuipenda kuanzia Darasa la Sita hadi kesho.
Ila Historia niliipenda zaidi na Ule mtihani wa Maarifa ya Jamii..
 
Back
Top Bottom