Tukumbushane ripoti ya makinikia, je imeshachapishwa kwenye Magazeti?

Mwemary

JF-Expert Member
May 25, 2016
330
340
Wadau kwa nia njema ya Taifa letu hebu tukumbushane ripoti ya makinikia kwani Wakati inasomwa kiongozi wetu alikuwa na Uchungu mkubwa sana wakizalendo.

Sasa tukumbushane tuuu je ile ripoti walishaichapa kwenye magazeti?

Walishakakabidhiwa wabunge waijadili?

Mikataba ya madini wameshapewa wabunge waijadili kwa maslahi ya taifa letu? Au ndo watu ( kiongozi) anatafuta umaarufu wake kuliko chama chake?

ACACIA (mwanaume) je wameshatutilia mzigo wetu? Na kama wameshalipa Je Noah zetu tutakabidhiwa lini?

Na kama mlikula hela za rambirambi ns tetemeko je hizo za Mwanaume (Acacia je kweli tutapata? Hv tunafikiri matatizo ya sisi wananchi yataisha kwa kila siku kuhutubiwa?

Hebu tujikumbushe viongozi waliozibadilisha nchi za kutoka dunia ya tatu mpaka kwanza mfano waziri mkuu wa Singapore ndo kila siku wakuwa wakihutubia na kuwatisha wanachi wanaowaongoza?

Hivi tanzania ya viwanda itapatikana kwa kutishana? Kuminya democrasia? Kuzimwa kwa bunge huku wengine wakishinda kwenye media?mimi nadhani ss wananchi tunahitaji maendeleo tena ya kweli sio ukitupa mgongomnatucheka. Maendeleo hayaletwi na viongozi kushinda kwenye media kwani kufanya hivyo ni zaidi yavkujichoresha.

Kodi zimekuwa nyingi mpaka kero mara cjui za majengo mbona wakati wa Jk yote hayo hayakuwepo na aliajiri,alisomesha wanafuzi wengi,alijenga miundo mbinu kama barabara mbona awami hii vyote vimesimama? Tatzo nini?Au awamu hii ndo kuna upigaji zaidi ya Jk?

Maaanake hatuelewi huo uzalendo umebaki kuhubiriwa kwenye media lkn mko kiupigajizaidi.
 
Saa nyingine inabidi ucheke tu, ule mkwara waandishi kesho yake walijazana airport kuwaona ACCACIA wakisepa kwao, wengine walijazana migodini kushuhudia wazungu wakitolewa mkuku ndani ya migodi na kujipatia ajira huko, sasa komesha ilikuwa Kisutu.
Naamini hela yetu italipwa japo sijui kama nao hawatataka kuunda tume huru kuchunguza kiwango cha madini kwenye mchanga kwani wao wanaamini hawajawahi kudanagnya ila sisi ndio tulidanaganyana.
 
Back
Top Bottom