TUKUMBUSHANE:- Nyimbo za harusini za makabila mbalimbali

Wala sio mnyaki, i just love local dances. Unawajua ladysmith black mambazo? Nazipenda nyimbo zao hadi watu wanadhania mie wa kwao. Zitafute, nzuri kweli.
hahahah nina shaka wewe ni Mnyaki sema lugha inakupiga chenga...
"Naloli" maana yake" Ni kweli"

Umeokota hapo tu kwenye ndizi. Lol. lara 1 sio mzungu kweli?
Hahahahahah! Hiyo ndiziii!! Hahah Ngoja Mmawia Lara1 aje akusaidie kuimega!!
 
Last edited by a moderator:
duh kitu kaonganangala cha wafipa, mkuu ralf umenikumbusha kunyumba!
 
King'asti na FP hamjambo jambo? LoL! hii itapendeza ikiwa kila mwenye kabila lake azuke kule Utube akatafute nyimbo za harusi za kabila lake kisha atufahamishe wanasema nini katika ule wimbo na unaimbwa wakati gani katika sherehe za harusi. Wimbo huu hapa chini huwachengua Wabongo wa makabila yote wake kwa waume.


[
Yaani zingenogaje? Nasoma hapa nyimbo zenu im trying to make a tune. BAK best, unaweza kutumiwa kwa email ya jf ukatuwekea? Tukajiburudani kidogo. Najua you can do your magic.


kwa kweli he is missed, lol! BAK come this way
 
Last edited by a moderator:
umewahi hudhuria sherehe zao? yaani utakula na kunywa kila unachotaka, inapofika swala la kuserebuka ni 0

Hata sijawihi kuhudhuria sina jamaa wengi wa huko...ila nafahamu harusi za Kinyaki, Kihehe, Kingoni, Kisukuma huwa ni balaah kwa watu kuyarudi.
 
Wala sio mnyaki, i just love local dances. Unawajua ladysmith black mambazo? Nazipenda nyimbo zao hadi watu wanadhania mie wa kwao. Zitafute, nzuri kweli.

Umeokota hapo tu kwenye ndizi. Lol. lara 1 sio mzungu kweli?

Black mambazo wana wimbo wao, Homeless, naupenda sana
 
Last edited by a moderator:
Wala sio mnyaki, i just love local dances. Unawajua ladysmith black mambazo? Nazipenda nyimbo zao hadi watu wanadhania mie wa kwao. Zitafute, nzuri kweli.

Ok, we wa wapi sasa ndugu?
wazee wa "isicathamiya" na "mbube"...nawafahamu though huwa sijawahi wasikiza sana...Nyimbo za bondeni ni nzuri sana hata za Zimbabwe, Botswana na Zambia.
 
Sikamatiki wala nini, niko slippery kama kambale! Lol, ukiniona naucheza utasema wa kwao.

Lol...
Karibu kwetu mamii
Ukimkuta Mc ni Mwakajumba kabla dj hajauachia utamsikia kama kuna atakaebaki kwenye Kiti nina mashaka na unyakyusa wake.
Kweli kuna rafiki yangu Mha kitu cha "Wanawake wa wa Yerusalemu" hawezi kukivumilia
 
bhusuunguu ee,bhusungu ee,bho ng'wan nshomaa..ee bhusungu bho ng'wa nshomaa ng'weenda mmakono

huu mara nying wanaimbaga wale wa upande wa binti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…