Tukumbushane: Nitajie majina yao

Tukumbushane: Nitajie majina yao

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Posts
16,952
Reaction score
10,513
1111177
 
Wakati huo ndio tulikuwa Dona kauntri tulikuwa tuna export Idea za kujikomboa dhidi ya uonevu na ubaguzi.

Nadhani ingekuwa ni awamu hii wangwembiwa marufuku mikutano ya kisiasa
 
kipindi nchi ina heshima na adabu,nashukuru Mwenyezi Mungu amewalinda wengi wao bado wapo hai except hao wawili wa kati kati(wapumzishwe kwenye mapumziko mema),TISS ya kipindi hiki ilikuwa inafanyia kazi nchi sio mtu au chama cha siasa,lakini hii ya sasa kila mtu anajiita tiss!!!,kipindi hiki hata jina lenyewe TISS lilikuwa ni siri kubwa.
 
Back
Top Bottom