Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 979
Usipo msomesha sema huna hela na wewe ni bahili. kwani kuamua kumsomesha si lazima umuelewe tabia yake kuwa anahangaika hatokaa na wewe hata baada ya kumsomeshaTumeshaimba sana huu wimbo, tatizo lenu especially nyie wavulana hamsikii..
Narudia kuwakumbusha mchumba hasomeshwi! Au ukiamua kumsomesha basi ni sadaka kwa Mungu wako!!
Usijipe guarantee kwa mchumba mwisho wa siku utaharibu future yako bure!!!
Kwa ufupi:-
Rafiki yangu aliyekuwa anaishi nje ya nchi huku akituma kuanzia tuition fee mpaka meals and allowance, alishatoa mahari na kuvisha pete ya uchumba kabla hajaenda ng'ambo ilikuwa mwaka jana mwezi June.. Wakawa wanawasiliana kwa simu tu.. Amerudi weekend. Kumpigia mchumba simu haipatikani, akanda nyumbani kwa wazazi wa binti...
Bahati nzuri akamkuta mchumba, ila hakuamini kumshuhudia mchumba ana mimba!!!
Hakuweza kuongea chochote dakika tano akadondoka chini!! Kumwahisha hospital, jana jioni ndio kafumbua macho
Huu ni ushauri wa bure
Thamani ya milioni moja iliyopo mfukoni sio sawa na thamani ya milioni moja unavoinvest kwa mchumbaUsipo msomesha sema huna hela na wewe ni bahili. kwani kuamua kumsomesha si lazima umuelewe tabia yake kuwa anahangaika hatokaa na wewe hata baada ya kumsomesha
Thamani ya milioni moja iliyopo mfukoni sio sawa na thamani ya milioni moja unavoinvest kwa mchumba
Fedha inayoambatana na kunuia jambo huwa ina thamani na pia kwenye ulimwengu wa roho ni mkataba wa agano
Hakuna haja ya kusomesha... Dawa ni kukaa kimyaa tu!! Hakuna haja ya kuweka rehani hisisa zakoIla nasisi jinsia ya kike tumezidi..kwanini ukubali kusomeshwa au kuhudumiwa na mtu unaejua hutokuja kua na future nae?
Kuna umuhimu wa kuandikiana mikataba ya malipo linapokuja suala la kusomeshwa/kusomesha mtoto wa kike (mchumba/gf
nikiwa kama mpezi msomaji nakupongeza saana kwa ushauri huu kwa wadada wezakoIla nasisi jinsia ya kike tumezidi..kwanini ukubali kusomeshwa au kuhudumiwa na mtu unaejua hutokuja kua na future nae?
Kuna umuhimu wa kuandikiana mikataba ya malipo linapokuja suala la kusomeshwa/kusomesha mtoto wa kike (mchumba/gf).
nikiwa kama mpezi msomaji nakupongeza saana kwa ushauri huu kwa wadada wezakoIla nasisi jinsia ya kike tumezidi..kwanini ukubali kusomeshwa au kuhudumiwa na mtu unaejua hutokuja kua na future nae?
Kuna umuhimu wa kuandikiana mikataba ya malipo linapokuja suala la kusomeshwa/kusomesha mtoto wa kike (mchumba/gf).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeBaharia kachomoa batteryView attachment 1242228