Ni matumaini yangu ulipata angalau busu la kufutia machozi.Habari Wana JF
Hebu tuvute kumbukumbu na kukumbusha jinsi ulivyohonga ukalizwa au ukapigwa.
Mm nilikuwa na kademu changu kalikuwa hakana cmu sasa ikawa shida mm kila cku kumtafuta itabidi nijipinde kidume.
Nikamnunua cmu demu wng, toka cku niliompa ilikuwa jumamosi hadi hii Leo hata kubeep hajawahi na cjui katokomea wapi au cjui alikuwa haramia.
Huu mchezo hauhitaji hasira.
Mjini shule ila usije na madaftari.Habari wana JF,
Hebu tuvute kumbukumbu na kukumbusha jinsi ulivyohonga ukalizwa au ukapigwa. Mimi nilikuwa na msichana wangu alikuwa hana simu sasa ikawa shida mimi kila siku kumtafuta itabidi nijipinde kidume.
Nikamnunulia simu msichana wangu, toka siku niliompa ilikuwa Jumamosi hadi hii Leo hata kubeep hajawahi na sijui katokomea wapi au sijui alikuwa haramia.
Huu mchezo hauhitaji hasira.
Habari wana JF,

Sijawahi kuhonga ila nimesaidia tu...na niliowasaidia nao walinilipa vizuri
Yuko sahihi,kwa sababu lengo lake lilikuwa kupata penzi .Ungesema kutoa instead ya neno " kuhonga" ningekuelewa mnoo...