Tukumbushane Maandiko

[TABLE="width: 655"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 80, bgcolor: transparent"]Mwanzo[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]1[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]26[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Hivi kabla ya Adam na Hawa, kulikuwa na watu wanaishi duniani? Nikijibiwa hili, nitauliza swali la Nyongeza
 
Mi huwa nadhani kwa kuwa mwanamume ndio anayewaacha wazazi wake yeye basi ndio angetakiwa awe anafanya wa send off...
 
Ndiyo kama wewe ni ke,nimekukwaza mpendwa kwikwi siyo mimi niliyesema ni maandiko matakatifu, najua wengi hawapendi kusikia ukweli maana unauma.
sielewi kwa nini umedhani mimi ni mwanamke au nimekwazika na huo mstari
 
ndoa ni mpango wa Mungu
anayepinga ana mpinga Mungu
 
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yanayo tiririka kutoka katikati ya kisima chako mwenyewe.

Je chemchemi zako mwenyewe zitawanyike nje, na vijito vyako vya maji katika viwanja vya watu wote? Na yawe yako peke yako, wala si yawageni pamoja nawe.

Chemchemi yako ya maji na ibarikiwe na ushangilie pamoja na mke wa ujana wako.
Methali5:15-18

cc: Himidini Mamndenyi watu8 na Arushaone TAFAKARINI!!!
 
Last edited by a moderator:

^^
Sipendi kujiingiza ktk mjadala wa msitari huu maana ktk moja ya chanzo cha kugawika kwa makanisa ni tofauti ya INTERPRETATIONS OF WORD OF GOD
...
Ila nikuachie msitari huu Mithali 31:1-10
cc: christine ibrahim
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Sipendi kujiingiza ktk mjadala wa msitari huu maana ktk moja ya chanzo cha kugawika kwa makanisa ni tofauti ya INTERPRETATIONS OF WORD OF GOD
...
Ila nikuachie msitari huu Mithali 31:1-10
cc: christine ibrahim
^^
...yes,ndo maana nakupenda, mambo ya madhehebu yanaboa, shetani ametumia mlango wa kutafsiri maamndiko kuwagawanya watu. thanx kwa neno
 
^^
Mr Rocky
Naelewa kwa undani kila ulichosema hapo..nyuma ya kauli yangu ni kuwa WENGI WANAKARIRI MANENO HAYO LAKINI HAWAYAISHI.
royna nimemfuatilia muda mrefu na kutokana na akili yangu ya kukopa..she is a model
^^

It is my pleasure mkuu! Biblia inasema, ajidhaniye amesimama aangalie asianguke. Niombee niendelee kusimama!
 
Ukisoma Mwanzo utaona kwamba baada ya Adam na Hawa kufukuzwa bustani ya Edeni, wakajuana na kuwazaa Kaini na Habili. Mmoja alikuwa Mkulima na mwingine alikuwa Mfugaji( Sikumbuki nani alikuwa mkulimana nani alikuwa mfugaji). Mkulima alimuua mgugaji baada ya wote kutoa sadaka kwa Mungu lakini sadaka ya Mfugaji ikakubaliwa. Mungu akampa laana mkulima baada ya kumuaa mwenzake mfugaji. Ukisoma zaidi utaona kwamba baada ya kupewa laana akaenda mji mwingine na kumuoa mwanamke na kuzaa watoto. Swali langu linaanzia hap, Huyo mwanamke anatoka kizazi kipi? Ikubukwe kwamba kizazi kinaanzia kwa Adam na Hawa ambao waliwazaa Kaini na Habili, ambapo mmoja alimuua mwenzake.

cc: Mamdenyi na watu8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…