Tukumbushane Maandiko

royna

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
479
Reaction score
336
Bwana Mungu akasema si vema mtu huyu awe peke yake, nitamfanyia mwanmke wa kufanana naye....................,Bwana Mungu akaufanya mwanamke............kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake nao wawili watakuwa mwili mmoja. (Mwanzo 2: 18-25).

Ni muhimu tu kukumbuka kuwa Mungu aliumba mwanamke baada ya mwanaume kushindwa kuishi bila mwanamke. A woman is so valuable to God and a compliment to a man! Live long ndoa!
 
aman, kweli mkumbuke muumba wako siku zote za maisha yako
 
Kabla ya kuumba mwanamke dunia ilitulia lakini baada ya kuumba mwanamke dunia haikutulia tena toka wakati huo hadi leo, mpaka mwisho wa dunia hii
 
^^
royna
Wanawake wenye mawazo kama yako wamebaki kwenye past tense!
^^
 
Last edited by a moderator:
Himidini suala sio yuko wapi suala ni kwamba umtafuta kwa taratibu na kwa maombi na yupo atapatikana japo atakuwa na mapungufu ila ni afadhali
Sio kwenda bar siku moja au kwenye harusi ukamuona yule aliyejiremba sana au kwenye fukwe za bahari ukamuona mzuri wa uso au model wetu hawa wamevaa vitop ukasema huyu ndio mwenyewe
Sio wa kuokota kama unavyoenda kuchagua nyanya sokoni ila mi wako uliyempata ukamtengeneza na kufikia viwango vyako na then ukasema sasa huyu ndie mfupa katika mfupa wangu na mbavu yangu iliyopotea Heaven on earth amesema kweli una uhakika hawapo wa aina hiyo ambao Mungu alishaona kuwa watamuondolea upweke mwanaume ambaye alijikuta licha ya kuwa na kila kitu alikosa wa kufanana nae na ambaye atamuita mwamamke
 
Last edited by a moderator:

^^
Mr Rocky
Naelewa kwa undani kila ulichosema hapo..nyuma ya kauli yangu ni kuwa WENGI WANAKARIRI MANENO HAYO LAKINI HAWAYAISHI.
royna nimemfuatilia muda mrefu na kutokana na akili yangu ya kukopa..she is a model
^^
 
Last edited by a moderator:
Nawasihi Enyi binti sayuni kwa paa na kwa ayala msiyachochee mapenzi wala kuyaamsha,mpaka yatakapoona vyema yenyewe,wimbo uliobora 2:7
 
Hivi kabla ya Adam na Hawa, kulikuwa na watu wanaishi duniani? Nikijibiwa hili, nitauliza swali la Nyongeza
 
Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi nayo nchi ilikuwa UKIWA tena UTUPU...Mungu akasema NATUMFANYE MTU...ndo ivyo
 
"Apataye mke apata KITU CHEMA naye hujipatia KIBALI kwa BWANA." mithali 18:22
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…