Tukumbushane maandalizi katika kipindi cha uchaguzi

Tukumbushane maandalizi katika kipindi cha uchaguzi

majoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
2,762
Reaction score
5,363
Wote tunakijua kipindi cha uchaguzi. Tukumbushane mambo ya kufanya
1. Kama mpenzi wako alikuahidi kavits, mbane mapemaa kabla ya siku hiyo vinginevyo itakula kwako
2. Kumbuka kununua mahitaji muhimu hasa vyakula vya kutosha, unga, maharage, mchele, sukari n.k
3. kumbuka kuwa na pesa za kukutosha ndani
4. Kacheki afya mapema, viugonjwa kama maleria visikusumbue kipindi hicho
5. Nunua dawa za kukusaidia za huduma ya kwanza
6. Jaza maji ya kutosha kwa matumizi
7. Ikibidi gegeda/gegedwa mwisho mwisho maana unaweza pigwa kibuti baada ya uchaguzi

Wadau tuendelee kukumbushana maana hali ya uchaguzi mwaka huu haitabiriki.
 
Back
Top Bottom