Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,319
- 17,809
Najifunza English, French na Spanish, kichina nilianza kidogo nikaona chenga na nyota nyota nyingi.Mkuu umenifanya nitumie translator....unafahamu lugha ngapi...?
Najifunza English, French na Spanish, kichina nilianza kidogo nikaona chenga na nyota nyota nyingi.Mkuu umenifanya nitumie translator....unafahamu lugha ngapi...?
Duh hongera kiongozi...mi kifaransa niliachana nacho primary...Spanish nilijifunza kidogo nikaletewa comprehension yake ikanichomoa....Sahivi nategemea English tu ambayo hata hivyo sipo perfect...Najifunza English, French na Spanish, kichina nilianza kidogo nikaona chenga na nyota nyota nyingi.
Haha hapana sifahamu kifaransa vizuri....ntakianzia baadayeNon, Vous parlez bien français.
Ukitaka kujikumbusha tena kile cha kuongea mitaani sio cha darasani nitafute nitakusaidia kitu. utaanza kuongea soon.Haha hapana sifahamu kifaransa vizuri....ntakianzia baadaye
Kifaransa nilitamani kujifunza lakni nikajisahau nikajifunza lugha ambayo dunia mzima inazungumzwa nchi tatu. Na sio official kabisa yaani lugha ya Wolof.Ukitaka kujikumbusha tena kile cha kuongea mitaani sio cha darasani nitafute nitakusaidia kitu. utaanza kuongea soon.
Shukrani mkuu... Ntakapoanza nitakucheki japo unishike mkono....Ukitaka kujikumbusha tena kile cha kuongea mitaani sio cha darasani nitafute nitakusaidia kitu. utaanza kuongea soon.
Je ne sais pas. Je parle français.WA kireno hawapo humu.?
Gosto muito de falar dessa língua de portuguesa se tiver alguém que consigue de falar bem procure-me.
Tchau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni lugha yenye potential kubwa baada ya kiingereza...ndo maana hata mitaalani kwetu imeingizwa...Kifaransa nilitamani kujifunza lakni nikajisahau nikajifunza lugha ambayo dunia mzima inazungumzwa nchi tatu. Na sio official kabisa yaani lugha ya Wolof.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haujapoteza kitu mkuu, ipo siku itakusaidia hiyo lugha.Kifaransa nilitamani kujifunza lakni nikajisahau nikajifunza lugha ambayo dunia mzima inazungumzwa nchi tatu. Na sio official kabisa yaani lugha ya Wolof.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli lakni ni lugha moja gumu mpaka nambári kuzisema mpka uandae waraka.Haujapoteza kitu mkuu, ipo siku itakusaidia hiyo lugha.
Il fallait faire cet annonce en françaisAliyependekeza kukumbushana lugha ya Kifaransa nakuunga mkono, inawezekana maana tupo wengi ila tunakuwa dormant kwa kutoitumia lugha yenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app