Hii ni TOYOTA STOUT pikapu zile za uchagani! Kwa kubeba majani ya ng'ombe balaa.Sio mbaya kukumbushana wakuu hii machine yangu iko chemba nimeitunza mpaka leo hii kama memory .
Je wewe yakwako iko wapi kwa sasa?
View attachment 1111982
Tunasubiri sindano.Tayari uzi