Tukumbushane kidogo tu

Kuna mtaalamu wa hesabu alinambia cha kuzingatiwa ni ile misingi, yaani kujumlisha,kutoa,kuzidisha na kugawanya,mengineyo huwa ni mbwe mbwe,zakukufanya ufikiri vyema,ili kuchangamsha ubongo wako,lengo usiwe mtu wa kukariri tu bali kuelewa jambo lolote kwa kufikiri vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…