Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,302
- 4,682
- Thread starter
-
- #21
Yondani akijiunga na YANGA nitavua nguo nijisaidie pale SAMORA avenue-ISMAEL ADEN RAGE
Yondani akijiunga na YANGA nitavua nguo nijisaidie pale SAMORA avenue-ISMAEL ADEN RAGE
"Tumewasiliana na Keneth Asamoah na kwa kiasi kikubwa tumefikia makubaliano kilichobaki ni kumtuma kiongozi wetu kwenda Accra Ghana kumalizana na Club yake ya Asante Kotoko,Asante Kotoko ndo team inayommiliki mchezaji huyu na siyo Jagodina Fc ya Serbia"....Mheshimiwa Ismael Madeni ya Maha'Rage wakati akiupotosha Uma katika habari za usajili kabla ya kuanza kwa msimu wa Ligi uliomalizika.
Kevin Keegan on Alex Furgoson 1995/96 seasonI've kept really quiet but I'll tell you something, he went down in my estimations when he said that. We have not resorted to that. You can tell him now, we're still fighting for this title and he's got to go to Middlesbrough and get something.
"And I'll tell you, honestly, I will love it if we beat them. Love it.