Hakuna uchafu katika kukomenti kwenye thread ya mtu.Yeye mleta mada kasema
from P to P na akajieleza. Nami nikajieleza ninavyoifahamu from P to P. Kama umeona komenti yangu ni uchafuzi, ni kwa sababu ya ambiguity ya 'from P to P' ambayo mleta mada hakuichunguza vizuri kuona options za interpretations.