Gombs mpaka tegeta...duuhEnzi hizo mdundiko ukipita hata mtaa wa sita utalikisia tu timbili lake.
Mama anaacha sufuria jikoni anajitosa kwenye mdundiko.
Baba alikuwa chooni anakata gogo , kutokana na utamu wa mdundiko anatoka nduki kuufuata mdundiklo huku suari ikiwa magotini na mkononi ana kata ya kuchambia.
Watoto ndio usiseme, ukija kushtuka uko Gongo la Mboto wakati kwenu Tegeta.
Jamani mdundiko ulikuwa una raha yake. Nimezimiss sana zile zama za magoma moto ya MDUNDIKO
Kamuacha mume waake kafwata mdundiko ahaa ahaa kafwata mdundiko...
Nishukuru sana mimi niyekupeleka msikitini.Binafsi enzi hizo miaka ya 1997 nilikuwa tunaishi vingunguti na mdundko ulinifanya nkapotea na kupatikana jioni kabisa.
Mbona jirani sana hapo?Gombs mpaka tegeta...duuh
Ngongoti pekee aliye bakia mtaani ni Fredy Saganda, maana tangu Hashim Aondoke kwenda NBA hata Richard Makani naye kaanza kufupikaHivi cku hizi ngongoti wanapita kweli mtaani?
Babuuuuuuuuuuuuunani kakusimulia?
teh teh teh Bujibuji umeniacha hoi
Nishukuru sana mimi niyekupeleka msikitini.
Ukatangazwa kuwa umepotea, wazazi wako wakakufuata.
Nakumbuka kwa heshima na shukrani wakanijia na kuniomba Jumapili niwe mgeni wenu,
Sitasahau pilau na jogoo mliyeniandalia.
Nahitaji huduma yako, najisikia naumwa Dr.
Nahitaji huduma yako, najisikia naumwa Dr.
Arushaone kwani lazima utibiwe na Lady doctor
Si umtafute mganga anayetibu kwa kitabu, mizizi, matunda, vyakula, lamli, ndumba, na ambaye pia anauza dawa za kuongeza nguvu za kiume, dawa za kurefusha uume, dawa za kupunguza uume, dawa za kupunguza maisha, dawa zisizopimwa, dawa zisizo na viwango, dawa za magumashi, dawa za mapenzi a.k.a limbwata, dawa ya Babu wa Loliondo, dawa ya kuleta majungu ofisini hadi mtu afukuzwe kazi, dawa za kipanda uso kwa ajili ya wagonjwa Mtambuzi na ladyfurahia, dawa ya kuongeza nuksi na mikosi, radi za saivi na uwezo tofauti.
Huyu si mwingine ila Dr. Niguse Nikuumize Hata Kama Sikujui a.k.a MziziMkavu