Inaitwa Kwaresima... ni kipindi cha kufunga na kufanya matendo mema.Kwalezima ndio kipindi gani hicho mkuu? Kiswahili naona kimenipiga chenga kidogo.
Inaitwa Kwaresima... ni kipindi cha kufunga na kufanya matendo mema.
Tena wewe ndo pepo mkuu....Hujasoma mafundisho nini.... defn ya Kwaresima ni kipindi cha siku 40 cha kujiandaa kwa ajili ya ufufuko wa Yesu Kristo. Tunajiandaa kwa kufunga, kuomba na kufanya matendo mema.. Upo hapo? yani umenifanya hadi nimefungua Katekisimsio kweli unapotosha jamii! matendo mema yanatakiwa kufanywa siku zote za maisha ya mwanadamu! wenye mtazamo kama wakwako wanaongozwa na mapepo!
Tena wewe ndo pepo mkuu....Hujasoma mafundisho nini.... defn ya Kwaresima ni kipindi cha siku 40 cha kujiandaa kwa ajili ya ufufuko wa Yesu Kristo. Tunajiandaa kwa kufunga, kuomba na kufanya matendo mema.. Upo hapo? yani umenifanya hadi nimefungua Katekisim