Coastal union wagosi wa kaya mabingwa wa tanzania bara 1988

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,138
16,111
Coastal union ya tanga, jina la utani ni wagosi wa kaya mabingwa wa tanzania bara 1988 ni timu yenye historia ya kutoa wachezaji wenye vipaji na uwezo wa kucheza kandanda lenye kuvutia,ukiondoa simba na yanga ,coastal ndio klabu ya tatu yenye wapenzi wengi ndani ya mkoa wa tanga na nje ya mkoa .
Coastal union imetoa wachezaji kibao waliowika ndani na nje ya nchi na katika vilabu vya hapa nyumbani mfano mzuri ni kama 1.Elisha john
2.Saidi george
3.Alliy maumba
4.Salimu wazir
4.Mchunga bakari(marehemu)
5.Mohamedi salum
6.Hassan juma aka visikio(marehemu)
7.Kassa mussa
8.juma mgunda
9.Hemedi moroko
10.Hussein mwakuruzo
11.Razak yussuph carecca
12.Abuu yasini napili valment
13.saidi salimu kolongo mkristo
14.Salimu amiri
15.Titus bandawe
16.seif mtambo marehemu
17.Mwarami mohamedi
18.Douglas muhani
19.Tippo athumani tippo
20.Ally jangalu jangli
21.Duncan mwamba
22.Dany lyanga
23.Akida makunda
24.Abdallah bori
25.Mohammedi mwameja
26.Khamis makene
27.Mussa ricco
28.Abdallah shamuni
29.Twaha Abubakari
30.Goerge kavila
31.Idrisa ngulungu (marehemu)
32.Agrey chambo
33.Abubakari Hassani
34.Dunia Adonis(marehemu)
35.Riffati saidi
36.Paul okech mkenya
37.Esmail suma
38.Habibu mahadhi
39.Wazir mahadhi
40.Hassani mattani
41.Godes mjungu
42.Nurdin kasabalala
43.Kassim mwajeki
44.Kassimu mwabuda
45.mtindi ally
46.shekue saleh
47.Allly mwaliza
48.Mohamedi kampira
49.joseph lazaro
50.Dondo ally

Viongozi waliofanikisha timu kuchukua ubingwa ni Hans leopard mwenyekiti,abdalla gugu,iddi mapikiki,musilh salimu,mpishi alikuwa mama abijani doctor mzee mrisho supporter mkuu khamis mduruma bwana kaka,kijiwe maarufu sweetconer.
 
Bila ya kumsahau wallace karia ni kiongozi muhimu wa coastal union miaka yote!
 
Huyo Kavila si wa juzi tu na bado mpaka sasa anacheza Kagera sugar? Kama lengo ni kutukumbusha coastal ya zamani ungeweka majembe ya zamani pia! Hata Kasimu Mwabuda sio wa zamani kivile! Asante kwa kumbukumbu nzuri
 
Wapinzani wakuu ni Africani sports wana kimanumanu na mechi ambayo itabaki kwenye kumbukumbu ni ya klabu bingwa africa mashariki kati yao na nchanga rangers na ile ya fainali dhidi ya kenya breweries,mechi yingine yenye kumbukumbu ni kati ya coastal dhidi ya miembeni ambayo agrrey chambo alikomboa bao wakati mashabiki wameondoka ilikuwa ni ligi ya muungani goli la miembeni lilifungwa na thomas tohoye tt,Riffati saidi aliokoa sana kwa kuinyima coastal magoli!
 
Huyo Kavila si wa juzi tu na bado mpaka sasa anacheza Kagera sugar? Kama lengo ni kutukumbusha coastal ya zamani ungeweka majembe ya zamani pia! Hata Kasimu Mwabuda sio wa zamani kivile! Asante kwa kumbukumbu nzuri
Ni kweli lakini nimeweka wale wote waliopitia coastal na bado list ni ndefu!
 
Nakumbuka sana kipindi hicho yanga na simba hawakua wanatoka salama mkwakwani ilikua ni hatari sana
 
Back
Top Bottom