Vinafanana na vile wale jamaa wa IS wanavyovitumia kuwanachinja mateka wa Marekani na wingereza
Tena hizo ndo utaulizwa umezitoa wapi wakati si zetu lazima utaambiwa Gaidi wewe.!
!
mikwara ya nini?.....wapigane hao wenye blue na nyeusi na hao wenye kijani Kijani tuone wapi wakali. Na nauliza tu, na hizo za blue blue haturuhusiwi kuvaa?
umeona vikisu vya askari wetu
hahah kama visu vya MKATE