Tukubaliane, hatuna wimbo wa Taifa

Hard copy ya nyembo zote tano ni za Bi. MALKIA wa UENGERZA (ex wakiloni) God save the queen !!
 
Ahsante kwa ufafanuzi.
 
Mkuu soma vizuri, wimbo ulikopiwa kutoka nyimbo ya anc.
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina wimbo wa taifa period.

Mbona wagumu kuelewa?
 
Kwa taarifa yako

1. Apartheid regime haijaangushwa, ila ilibadili mikakati yake ya ubaguzi. Leo hii kuna ubaguzi wa kiuchumi. Makampuni na mashirika makubwa ya makaburu ndio yanayoendesha uchumi ya Afrika ya Kusini.

2. Mandela hakuchukua nchi, bali alikabidhiwa kwa makubaliano maalumu ambayo wewe huyajui.

3. Taasisi ya kiintelijensia na ujasusi ya Afrika ya Kusini (BOSS) bado inaendeshwa na makaburu.
 
Utakutana matusi yote, lakini Ukweli utabaki palepale. Wimbo wa taifa ni copy and paste kutoka wimbo wa anc.
 
Wewe pia unatuambia, na unataka tuamini kuwa ati hatuna wimbo wetu wa taifa.....
...kwamba ni melody ya asili ktk kusini mwa afrika ndi sababu kuwa ati hatuna wimbo wa taifa?
Kinyesi!
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote, ndio wimbo wetu wa Taifa.
 
Kwani kuna tatizo gani kuiga kitu cha Mwafrika mwenzetu? Mbona hausemi kwamba Tanzania hatuna Sheria zetu wenyewe kwa maana zote ni British common law? Au kwa kuwa tumeiga kwa Mzungu ni sawa ila kuiga kwa Mwafrika mwenzetu unataka kupinga?
Hakuna tatizo kuiga kitu cha Mwafrika mwenzetu. Lakini ukweli ni kwamba uli-copy and paste na sio kubuni mwenye.
 
Nadhan jamaa huna uzalendo tu manake tz ndo watunzi ndo wakwanza kupata uhuru kwa mara ya kwanza uliimbwa 1961 waat south haipo kwwnye raman kabisaaaa
Soma vizuri, wakati nyie mnaiimba wimbo mwaka 1961, wenzenu walisha urekodi na hata kupata hatimiliki kabla ya mwaka 1933.
 
Na zikiimbwa nyimbo zote mbili (Mungu Ibariki Afrika; na Tanzania nakupenda kwa moyo wote), ni dhahiri kwamba huu wa pili ndio unasikika na kuhisiwa wa kizalendo kwetu. Ni wimbo wetu.
Bado nasimama na kundi linalosema Tanzania kwa maana ya Tanzania kuwa hatuna wimbo wa Taifa. Hoja za utetezi ulizozitoa zilikuwa hazina mashiko.

Je, wimbo wa taifa wa Tanganyika kabla ya Muungano na huu unaouwita wa Tanzania una tofauti zaidi ya kubadilisha neno Tanganyika na kuliita Tanzania? Ukweli ni kuwa Tanzania haina wimbo wa Taifa wala Bendera. Muziki tumeukopa kutoka Kanisa na Bendera ya Tanganyika tumeigeuza mshadhari kuifanya kuwa ya Tanzania.

Pia kulikuwa hakuna haja ya kujiona mnyonge kukitetea kitu cha ukweli ni kuhusu msimamo wa Taifa la Tanganyika kuhusu udini. Kutoa tamko kuwa Tanzania haina dini ni kuwazidi akili tu watu wenye imani tofauti kuendelea kuzubaa huku Kanisa likiendelea kujiimarisha na kujitita kila sehemu ya uamuzi nchini. Ilianza kufilisi mali za waumini dini nyengine, kukipiga marufuku East African Muslim Association, kuondololwa madarakni Iddi Amin Dadah, kufukuzwa kwa Sheikh Hassan bin Ameir wa Zanzibar asikanyage/ kuhubiri Tanganyika na mambo kama hayo
 
Tunes na lyrics ni moja ya misingi ya hatimiliki.

Sasa ukakopi tunes na kubadilisha lyrics kwa lugha ya Kikwenu, utakuwa bado umekopi kazi ya watu.

Ukweli upo pale pale. Wimbo ulikopiwa kutoka wimbo wa chama cha anc cha Afrika ya Kusini.
 
Hakuna tatizo kuiga kitu cha Mwafrika mwenzetu. Lakini ukweli ni kwamba uli-copy and paste na sio kubuni mwenye.


Tatizo liko wapi? Mbona kwa Wazungu tume copy paste mpaka majina yetu hamlalamiki? Hata uwezekano wa wewe kuwa na jina la Kizungu ni mkubwa kama uwezekano wa kuona jua Dar kesho?

Sasa kwa nini hapo hamlalamiki ije kuwa ishu sisi kukopi kazi ya Mwafrika mwenzetu?
 
Kuna shida hapa. Yaani unataka kutuambia kuwa, wimbo huu South Africa wameanza kuutumia baada ya Mandela kuwa Rais? Hata hili la Mandela kupewa mafunzo na Watanzania nalo linafaa kupelekwa chit chat
 
dah! maandishi yote kumbe ni uwongo...bado nusu ningemwamini mtoa mada, kumbe uwongo!
aiseeeeeeeee kunakaukweli ndani yake acha kubisha bisha usichokijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…