RAJ PATEL JR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2010
- 743
- 169
Tatizo kubwa la TZ ni mfumo tuliokuwa nao mwanzo wa Ujamaa. Sasa ilipofika wakati wa kuja kwenye Free Market system nchi ilikuwa haijajiandaa vizuri. Matokeo yake, sasa hivi kila mtu anataka kuishi Dar, wakati huo huo Dar haipo tayari kuweza kuwahudumia watu wote. Sasa hivi unaona inflation Dar ni kubwa kwa sababu demand ipo kubwa kwa kila kitu. Ukitaka kuishi vizuri TZ, nenda kaishi vijijini, tafuta shamba lako, mifugo yako, utaona maisha ni mazuri sana.
I recently visited so many rural areas for business, believe it or not, life is getting even uglier and tougher