Tukomalie kudai risiti tunapofanya manunuzi

Tukomalie kudai risiti tunapofanya manunuzi

Kila mahala ni KODI watanzania tunalipa kodi kwa kitu kimoja zaidi ya mara mbili. Me nkienda dukani akiniambia nakupunguzia bei hii lakini sikupi Risiti stakagi majadiliano yasio na msingi mm.. Anipe fasta kila mtu akafie kwake.
Watu wanaishi km Peponi na familia zao eti viongozi tulipe kodi wanajenga Airpot Chato.
Hii nchi haina mwenyewe ni nafasi tuu ndo hatuna za kuila hii nchi ndomana tunaandika huku kutokana na Mifumo mibovu ya CCM waliyo itengeneza toka Uhuru. Ukinisogezea sahani niandike huku Jamii F. Ya kazi gani. Eti dai RISITI nisipunguziwe bei utanlishia watoto wangu wewe. Upo kwenye m V8 unapgwa na umande ujui hili JOTO la dar sahv. Kwendraaa
 
Ukisoma mawazo ya waTz utasikitika sana...
 
Ukisoma mawazo ya waTz utasikitika sana...
We kama unaipenda nchi endelea kuipenda sana tu ila kodi yako inaliwa na watu wachache na hao watu bado wanakutukana jukwaani na wanakubomolea nyumba bila hata kutoa sahani za plastiki.
Hao hao ndio wanatembelea VX ilihali wewe na ndugu zako mnapanda daladala na bodaboda na mnapigiwa ving'ora kuwapisha wao wapite wakiwa kwenye AC 24 hours namyie mko kwenye DCM la Gongo la mboto Ubungo joto kali mnasubiri mheshimiwa apite.

Lipa kodi nyingi tu watu wajenge kwao, watu hawakatwi kodi ilihali mishahara yao ni zaidi ya 5millions kwa mwezi, yule ndugu yako mwalimu mshahara wake laki 5 wanakata kodi na hivi juzi kapewa increment ya elfu kumi baada ya kuikosa kwa miaka miwili.
 
Kodi inalipwa Kwa asilimia kubwa lkn shida kwenye matumizi ya kodi hiyo inayopatikana ohooooo...

Ova
 
Back
Top Bottom