Lile swali la "TUPO WANGAPI" nadhani tumeshapata majibu.
Juzi Rais alitangaza kuwa tupo 44,929,002.
Kwa hiyo tusisumbuane kuulizana tupo wangapi?
Kwa sasa nawaruhusu kuangaika kwa kua tuliambiwa "TUTULIZANE KWA KUA HATUJUI TUPO WANGAPI."