Unaweza ukampigia mtu kura ila usimchague

Arch-Furum tz

New Member
Sep 12, 2019
3
1
Maana Ya Kumpa Kura Mtu ni Kuidhinisha kuwa Sera Zimekuvutia ila Kumchagua Ni kumtofautisha Mtu huyo na Wengine.

Najua Hii ni Hoja Tata, Ila ukweli ni kuwa unaweza ukampigia mtu kura ila usimchague. Mfano ikitokea Wanasiasa Wawili Wamekuvutia kwa hoja zao. Utampigia kura mmja ila haitakuwa na Maana Kuwa Umemchagua.

Niambie Umeelewa nini Hapo?
 
Back
Top Bottom