Vesper-valens
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 5,331
- 7,467
Mkuu kwenye maisha huwezi kupata kila unachokitaka kuna vitu utashindwa kuvipata, Naona wewe unazungumzia upande wa kiuchumi tuuKuna watu wana vyote hivyo mkuu
Wanapokuwa wadogo wazazi wao wanawaruhusu kufanya kila wanachojisikia
Wanapokuwa wakubwa na kuanza kujitegemea uchumi wao unawaruhusu kufanya wanachojisikia
Na hata wanapokuwa wazee bado kuna mazingira yanawaruhusu kufanya wanachojisikia
C'est la vie mon frère
Sahihi sana mkuu, ni swala la nyakati tuu kwenye maishaKuna umri utafika afya nayo itakubana wakati huo una uhuru wa kiuchumi
Sure mkuu mapambano mwanzo mwishoHakuna kupoa.
Unaishi kwenye imaginary mindMimi natumia falsafa ya utoto katika utu uzima wangu, likipita gari Kali la kwangu, nyumba nzuri ya kwangu. Mademu wazuri na mashangazi wazuri wa kwangu. Sina ninacho miliki ila nina kila kitu. Inanipa furaha sana na nina enjoy maisha.
Hii picha inaeleza mengi sanaNaunga mkono hoja..
Mambo ni mengi mkuu, muda ndo hautoshiUnaona bora unyoe kipara nywele kutunza gharama.
Sure mkuu Muda haurudi nyuma, ni kukubaliana na kidogo maisha yalichokupaKuna muda mpaka unatamani kurudi utotoni lakini haiwezekani kabisa
Andiko fikirishi lililobeba uhalisia.Habari wakuu,
Ni ukweli usiopingika kipindi ukiwa mtoto, kuna mambo mengi ya utotoni ulitamani kuyafanya lakini wazazi/walezi walikukataza, kutokana na saababu mbalimbali kitu kilichopeleka kuhisi kukosa uhuru
Maisha yanabadilika unakuja kuwa mtu mzima ukiwa na uhuru wa kufanya kila kitu lakini Uchumi nao unakubana ,hii hali inafanya tutafakari mengi kuhusu maisha
Itafikia kipindi utakua na uhuru wa kiuchumi lakini kuna mambo mengine utatamani kufanya lakini mazingira hayatakuruhusu
Tujifunze kuwa na kiasi katika matamanio yetu
Tafakari!!!!!
Shurkani mkuuAndiko fikirishi lililobeba uhalisia.
il y a un parent qui dit qu'il n'a pas de guide... J'ai écrit avec l'aide de Google TranslateC'est la vie mon frère