MONTESQUIEU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 847
- 80
Inaelekea uliagiza cheap ones! Halafu ulitembea na mbuga ya Serengeti with you, teh.
Jamaa hao ni economist wa kufa mtu!Tunaambiwa tunywe bia badala ya wine na whisky.
Hatupenda sana
Jamaa hao ni economist wa kufa mtu!
1.Wine ni 2500/= per glass,
2.Whisky ni 1500?? per tot!
3.Bia ni 1500 per bottle!
Wakicheki mfukoni kunagomba...sa shida ya kudhalilika baa nini, wakati ni mahali pa kujenga heshima!
Gharama....
Kwanini utoe ofa ukiwa huna pesa ya kutosha?
They should go to ....
Ndio tatizo, unataka kutoa ofa wakati mfukoni hakuna kitu, hao jamaa wana matatizo sana!Hatuwaomba siye kila mtu alibeba matumizi ya kutosha usiku huo
Ndio tatizo, unataka kutoa ofa wakati mfukoni hakuna kitu, hao jamaa wana matatizo sana!