Kijana mtoto anatakiwa kutolewa 'soni' huyo. Hivyo achana na mastori mengi magumu sijui ya Escrow, EPA, eti sijui umeme wa mgao etc Kwa kifupi unakuwa hueleweki kwani unakuwa nje ya mada iliyo mezani.
Hivyo 'changes of game plan' iko hivi; Anza kumfanyia mtoto 'mazindiko' huyo kila mkitoka basi mnamalizia na 'shughuli' kidogo. Nakuhakikishia utarudi hapa kutoa "Ushuhuda' kwani baada ya hapo wewe ndio utageuka kuwa msikilizaji sasa, utamsikia mara darling hivi....mara ooh sweet heart vile...mara Ooh bebi unajua wewe ndio bebi wangu wa ukweli...alimradi wewe ndio msikilizaji. Wewe kajaribishe hii dozi ninayokupa walahi utarudi hapa na habari njema hapa.