tukiwa ndani ya chumba cha mtihani jana

tukiwa ndani ya chumba cha mtihani jana

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
mtihani.jpg ata nikifeli sio ajabu
 
Big result now usishangae ndo kauli mbiu yao
 
Hayo ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania yanayoletwa kwa "kasi mpya, nguvu mpya na ari mpya".
 
Watoto wetu wanakalia mawe madarasani lakini wakubwa wanatembelea magari kama haya. Hivi pesa inayotumika kununulia gari moja kama hili inaweza kununua madawati mangapi?

toyota_sahara_land_cruiser_200_vx_2008_en_medellin_antioquia_98228624437975613.jpg
 
wakati huo wengine wanagawa pikipiki na picha za ccm na bendera kama zawadi.
 
Hakuna kinachoniuma katika nchi hii kama kupuuza elimu. Tofali? nalo kipande? bado unasema kuna watoto wanasoma? Umesahau polisi msimamizi? Ati mtihani unaibwa kwa hiyo tupeleke polisi kuulinda. Ujinga gani huu?
 
Watoto wetu wanakalia mawe madarasani lakini wakubwa wanatembelea magari kama haya. Hivi pesa inayotumika kununulia gari moja kama hili inaweza kununua madawati mangapi?

toyota_sahara_land_cruiser_200_vx_2008_en_medellin_antioquia_98228624437975613.jpg

Hilo gari pia linatumika kuwapelekea watoto wao shule.

Nakumbuka nilisomaga na ndugu wa Isidori Shirima, alikua anafuatwa na Shangingi limeandikwa kabisa RC.
 
Watoto wetu wanakalia mawe madarasani lakini wakubwa wanatembelea magari kama haya. Hivi pesa inayotumika kununulia gari moja kama hili inaweza kununua madawati mangapi?

toyota_sahara_land_cruiser_200_vx_2008_en_medellin_antioquia_98228624437975613.jpg
Ivi hizi namba ni za wapi?
 
Watoto wetu wanakalia mawe madarasani lakini wakubwa wanatembelea magari kama haya. Hivi pesa inayotumika kununulia gari moja kama hili inaweza kununua madawati mangapi?

toyota_sahara_land_cruiser_200_vx_2008_en_medellin_antioquia_98228624437975613.jpg
Halafu mgari kama huu eti unamtoa mtu mmoja tu nyumbani mpaka ofisini..9kms.Kuna haja ya kuwa na magari ya cylinder 12?Hivi corolla haifai kwa mji kama Dar?Hili Lorry la nini?....#Ujingawamwafrika
 
Msishangae wanaweza kuja kuwa waheshimiwa hawa, kuna mawaziri waliopitia shida za maisha ila hawajisemi na hawakumbuki waliyoyapitia na kurekebisha elimu ya watoto, hii ndio hali tuliyonayo
 
Back
Top Bottom