Mkeshahoi
Join DateSun Jan 2009
Posts1,244
Thanks376
Thanked 185 Times in 145 Posts
Rep Power25
Unanitaka mrembo?!:A S-rap:
SPEECHLESS!!!!!!!!!!!!! hivi hiki kichwa kinachoitwa "woman of substance" kiko wapi? we need akina mama wanaotoa changamoto humu jamvini,proper great thinkers and not otherwise.
what are u trying to say >>?????
Sishangai hata kidogo I expected more than this from u. Halafu tumia ile ID yako nyingine ya -he
tamu hiyo...nimipenda spidi yako...
naona of late,mwelekeo wa baadhi ya watu humu ni negativity plus plus na debates na confrontation ni za kijiweni,it makes me remember the likes of woman of substance ambao hutoa maoni yaliyoenda shule na kujirespect has a proper brought up woman
hizi painkiller anaonaga za wengine.....jamaa mdhaifu yule....
Sishangai hata kidogo I expected more than this from u. Halafu tumia ile ID yako nyingine ya -he
hata kwenye pm simpati.....anyway aliwahi kutoa duku duku lake juu ya huyu dada mpiga picha za utupu.....tafuta thread ipo humu.....SPEECHLESS!!!!!!!!!!!!! hivi hiki kichwa kinachoitwa "woman of substance" kiko wapi? we need akina mama wanaotoa changamoto humu jamvini,proper great thinkers and not otherwise.