Tukisema wanajiuza.....

Status
Not open for further replies.
nilijua tu mtanivamia na lugha zenu za mitaani,kama kalio sina ndio uchukue picha yangu uiweke hapa??kwa nini usitafute ya mama yako mwenye kalio kubwa umweke hapa?
roselyne! Jina lako zuri, nimelipenda, natamani na lugha unayoitumia humu iwe nzuri kama jina ulilochagua.
 
nimeanza ogopa ntakuta suru yangu huku...
hapan shaka....huyu shori anadai aliombwa na fans wake amuonyeshe paja ndo maana akapiga picha hizo......nitumie yako kwenye PM afrodenzi
 

usitake kujifanya unanijua mpuuzi wewe.....

kama umemiss zeutamu kwa nini usifungue yako,ukaweka dada zako huko???badala yake unataka kugeuza JF sehemu ya great thinkers ndio zeutamu???tutapinga wavuta bangi kama wewe mpk kieleweke.......

ana haki ya kufanya apendavyo na picha zake,kuweka kny internet...haikupi haki wewe usiyeweka kujadili maisha yake......

afu mtoto wa kiume hawi mbea hivyo kufatilia yasokuhusu! nina walakini na jinsia yako............

MODS,jaribuni kuweka fair grounds for all,km mlitoa thread za mange kimambi...sioni sababu mnaentertain huu ujinga wa huyu mtu??
 
bwa ha ha ha ur not my type joo.....
 
nani kakuambia zeutamu haipo?
 
Nafurahi sana jinsi unavyojipa pressure/stress za bure...........leo online marketing imeingia mushkeli mama.

Picha zako zimewekwa JF na wadau wanakukosoa haulipi na kiwowowo chako fekifeki, cha kichina!

Kiwowo kama mbegu za kungumanga,
 
bwa ha ha ha ur not my type joo.....


hahahahaha,nani kasema wewe ni type yangu???wabwia mbwimbwi kama wewe waniepukie mbali...and for your info sitafuti bwana humu....ninaye wangu usijihangaishe na kibamia chako! na habari ndio hiyo
 
hahahahaha,nani kasema wewe ni type yangu???wabwia mbwimbwi kama wewe waniepukie mbali...and for your info sitafuti bwana humu....ninaye wangu usijihangaishe na kibamia chako! na habari ndio hiyo
mh!
 
wild rose...

unapenda makange ya digi digi? una miba! unawasha?
 
hapan shaka....huyu shori anadai aliombwa na fans wake amuonyeshe paja ndo maana akapiga picha hizo......nitumie yako kwenye PM afrodenzi

mmmmhhhhhhh YO YO asante kwa kunipa moyo lol
mmhhh mie picha zangu sitoagi mpaka pate ruhusa kutoka kwa wazee wa Kiiraq hahaha lol
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…