huna issue,mfano bora na nyie mnaoleta picha za watu hapa...???nyie ndio hampaswi kuwa mfano bora???...........kila mtu yupo nyuma ya PC au unadhania tunakuona hapa ukitype??shhhxxxxxxx!
Fidel achana na huyu dada, hana hata chembe ya busara si unaona anavyotukana nick names! you cana imagine ukikutana nae face to face itakuwaje!
kwenda huko na wewe,hata km mtu anajiuza wewe inakuhusu nini.....kila mtu si ana kidude chake??wewe cha mwenzio kinakuhusu nini hata akiamua kukata na kutupia kuku hayakuhusu kijana...mind your own damn buzziness...shshshshsssssssssssss!
sipendi waluga luga mnaojiona mko important zaidi ya wengine na mna haki ya kuwachagulia watu jinsi ya kuishi....huyo salva si mtu tu kama wewe au ana vinyeo viwili???shxxxsss!
!Fidel achana na huyu dada, hana hata chembe ya busara si unaona anavyotukana nick names! you cana imagine ukikutana nae face to face itakuwaje!
yes namlaumu mama yako hakukufunza adabu! she is rensponsible kwa upuuzi wowote unaoufanya...
mama yako hanihusu,kama vile huyo dada kalio lake lisivyokuhusu!
ukijidai kujihusisha na ishu za watu,kubali pale watu wakianza kujihusisha na zako!
yes namlaumu mama yako hakukufunza adabu! she is rensponsible kwa upuuzi wowote unaoufanya...
mama yako hanihusu,kama vile huyo dada kalio lake lisivyokuhusu!
ukijidai kujihusisha na ishu za watu,kubali pale watu wakianza kujihusisha na zako!
Duuuu mumeo ana kazi kama umeolewa.........ww umeathirika na maeneo flani uliyokulia kama mwananyamala kwa kopa hivi....
Yoyo mwombe huyu maza msamaha ona alivyochukia. H
Alijaribu kukuuzia wewe?? una risiti?
Sheria za Tanzania haziruhusu Sex workers, japo inaonekana mpo wengi!
wewe umeingiaje hapo???si ulijidai kujinadi wewe ni mzee wa busara??nyooooooo!
Sheria za Tanzania haziruhusu Sex workers, japo inaonekana mpo wengi!
kutokana na kauli zako za ku-support upumbavu, inaonekana ulisha wahi practise aina hii ya business ambayo mwili ndio asset yako! current liabilities ni kununua nguo za mitego, kuoga na kujipodoa, na kutega kwenye kumbi za starehe. But wewe ume-advance kidogo si unaona unafanya hadi online marketing? itumie face book vizuri itakutoa, utawavuna wengi.
Du! Da rose Mkali jamani mwacheni mbona mnamchokodha? Mtoto wa watu ameamua kuwa mjasiliamali kwa kutumia resources alizonazo sasa nyie mnamtolea mimacho sasa akaibe? Nakuiba ni dhambi yeye kaona atumie mtaji alionao jamani chonde mwacheni mtoto wa watu.
yes thats what am talking about!...kila mtu amind buzziness zake!....uone uchungu kisa nauza kidude changu ilihali una chako inahuuuuuuuuuuuu???
huwezi kuwa na mume wewe......waliokulia kwa kopa ni watu kama wewe,shukuru mungu kama ulikulia masaki....but that shouldnt make you think you are more important than others....
halafu usimuingize mume wangu humu,at least ana akili and respect kushinda nyie mambwimbwi mnaoshinda mkidhalilisha dada za watu humu!