kwenda huko na wewe,hata km mtu anajiuza wewe inakuhusu nini.....kila mtu si ana kidude chake??wewe cha mwenzio kinakuhusu nini hata akiamua kukata na kutupia kuku hayakuhusu kijana...mind your own damn buzziness...shshshshsssssssssssss!
Umejibu kibusara sana dada yangu! complementsAnajiamini na anatangaza alichojaliwa na Mungu,wenye interest na uwezo wa kununua.......wajibebe.......mwenye dau lake la juu....ananunua.
Kwenye suala la kuuza mwili hakuna anayekubali wote wangependa kuitwa na kuonekana potential girlfriends whether they are marketing themselves online au you met them kanisani.
Unalugha kali sana binti...inayoashiria nawe ni member wa picha za utupu! Lugha kama za Dr. Salvatory Rweyemamu wa Ikulu
kwenda huko na wewe,hata km mtu anajiuza wewe inakuhusu nini.....kila mtu si ana kidude chake??wewe cha mwenzio kinakuhusu nini hata akiamua kukata na kutupia kuku hayakuhusu kijana...mind your own damn buzziness...shshshshsssssssssssss!
Pole ni picha yako nini?
Lakini acha kutanguliza penzi ya jinsi nani huko hakutakiwi kupate joto kali.
Lakini kama kalio huna si huna tu
sipendi waluga luga mnaojiona mko important zaidi ya wengine na mna haki ya kuwachagulia watu jinsi ya kuishi....huyo salva si mtu tu kama wewe au ana vinyeo viwili???shxxxsss!
nilijua tu mambwimbwi mtanivamia na lugha zenu za mitaani,kama kalio sina ndio uchukue picha yangu uiweke hapa??kwa nini usitafute ya mama yako mwenye kalio kubwa umweke hapa?
kwenda huko na wewe,hata km mtu anajiuza wewe inakuhusu nini.....kila mtu si ana kidude chake??wewe cha mwenzio kinakuhusu nini hata akiamua kukata na kutupia kuku hayakuhusu kijana...mind your own damn buzziness...shshshshsssssssssssss!
Pole mama, ila acha lugha chafu haikufikishi popote.........usijidanganye kwa kujificha nyuma ya PC. Ninyi ndo mnatakiwa muwe mfano bora ( wamama wenye busara) kwa taifa la leo na kesho!
Ndo maana nikatanguliza pole kama ni wewe.
Lakini maswala ya mama zetu yanakujaje hapa tena?
Mama angu anakuhusu nini wewe? kama mm nimekosea si unihukumu mm kwa nini unakimbilia kwa mama ambae hayupo na hajui lolote?
Kheeeeeee................... najaribu kulingalisha avatar yako na maneno yako sioni vinapoungananilijua tu mambwimbwi mtanivamia na lugha zenu za mitaani,kama kalio sina ndio uchukue picha yangu uiweke hapa??kwa nini usitafute ya mama yako mwenye kalio kubwa umweke hapa?
sipendi waluga luga mnaojiona mko important zaidi ya wengine na mna haki ya kuwachagulia watu jinsi ya kuishi....huyo salva si mtu tu kama wewe au ana vinyeo viwili???shxxxsss!
Hapaswi kukiuza kwa kuwa yeye alipewa bure,pia anapaswa atoe bure.Kinachoudhi hapa ni yeye kutaka kukiuza hicho kidude kizuri!!!