Tukisema ligi ya EPL ndo kipimo Sahihi kwa Makocha na Wachezaji Tutakosea?

Kinachoifanya ligi ya uingereza kuwa inatamba ni uwekezaji mkubwa wa timu hasa kiuchumi yaani timu nyingi uchumi wake hautofautiani sana sasa angalia LA liga au bundersliga ukitoa Dortmund na munchen hakuna timu zenye uimara wa kushindana nazo. Angalia Felix magath alichukua ubingwa na werder Bremen alipoenda Fulham akashindwa kufanya chochote,hata pep ameshindwa kuendana na kasi ya ligi kuu
 
Kinachowashinda EPL ni team zenyewe. Uingereza haina team zenye wachezaji wenye nguvu kama tuchukulie La liga.
Mfano ukichukua team zinazorank duniani ni Chelsea inakuja ya tano. lakini La liga inaanza Real Madrid, inafuata Bayern Munchen, Barcelona, Juventus then Chelsea, then Atletical Madrid, Borrusia Dortmund, Arsenal, Benfica, PSG, kwa hiyo unaona katika kumi Spain ziko tatu. angalia First 11 wa fifa utaona majina mengi yanatoka Spain.
Christiano Ronaldo, Lionel Messi and Neymar (attack). Midfield Andres Iniesta, Paul Pogba (EPL), Luka Modric. Defence: Marcelo, Thiago Silva, Sergio Ramos and Dan Alves (all Spain) Keeper Manuel Neuer (Bundasliga)
Kwa hiyo utaona ni wachezaji wangapi wameunda frst eleven je ukiwa kocha utapata shida kuwafundisha?
 

Pogba kaingiaje hapo.? Hebu mtoe huyo mkabaji wa roba za mbao. Kwa mujibu wa FIFA hapo ni Toni Kroos, Germany Machine himself.
 
Swala la kocha au mchezaji kushindwa kupaform club flan kunachangiwa na mambo mengi ndani ya uwanja na nje ya uwanja.Ukianza na kocha unakuta anaenda kwenye club anaikuta ina falsafa yake na ilikua na kocha aliyeifundisha kwa falsafa yake sasa had iyo club ikae sawa sio kitu rahis rahis vinginevyo kocha asijaribu kubadilisha mfumo alioukuta.Na wachezaj ni ivyo ivyo.unakuta mchezaj katoka club A kaenda B hapo mtu anaanza upya kuendana na ayo mazingira maana anakuta kila kitu kigeni swala la yeye kupaform haraka itategemeana na mfumo au wachezaj wenzake aliowakuta ameelewana nao haraka kiasi gani.Ila ukitaka ujue ligi bora angalia timu zinazoshiriki Ligi ya mabingwa ulaya na kikosi kinachotengenezwa baaa ya mashindano kwisha uone kama timu za uingereza zinafanya vizuri au wachezaj wake wanachaguliwa ila ukitaka kujua ligi mashuhuri hasa uku africa hapo jibu lake ni EPL.
 
Siyo mimi niliyemuingiza maana sikuwepo kwenye jopo lililofanya uteuzi
yaani kocha bora ranieri lakin hakuna mchezaj wa timu yake aliyestahili kuingia kwenye kikosi cha dunia!?..inaingia akilin?..hivi kantelele hakufaa kuingia hapo,calwalker hakufaa,coutinho,sanchez,koscielny
 
haka kamchezo balaa. spurs kavuruga mkeks wrote kwa draw ya 0
Ifike mahali tukubali kwamba EPL ndio ligi ngumu ila tusisahau la liga ndio bora yenye vilabu yenye vikosi bora mkuu
 
Hebu eleza ni makocha wangapi wametoka uingereza wakatikisa huko kwingine!
 
Jana nilikuwa naangalia game ya Man u vs liver ,sikuona ladha yeyote ile butua butua sana ,mipira mingi inarudishwa kwa kipa kisha kubutuliwa ,timu zote zilikuwa zinapoteza mipira sana ufundi hakuna

Usiku nilitizama game ya Sevilla vs real Madrid hakika nilitamani mpira usiishe ,mpira unachezea chini ,ufundi ,passing ,tactical nk

Pressing ,passing ,ufundi wa kila namna ulikuwepo ,huoni mpira ukipigwa juu hovyo au pass mbovu ,dribble za uhakika

Real Madrid ,Barca ,Atletico ,Sevilla watatawala sana ulaya kwa namna hii

Na hao leceister kazi wanayo kwa mpira wao wa kupaki basi dhahma itawapata kutoka kwa Sevilla

EPL bla bla halafu mguuni mpira mbovu butua butua. Ndio mechi za ulaya huwa wanaishia kupaki basi tu
 
Guardiola apunguze akili nyingi, hiyo RUGBY ya epl ni miguvu





striker wanaoongoza magoli ni Costa, Ibrahimovic, Aguero, Bruyne



middle zinazong'aa Silva,Yaya, Wanyama, Herera, Kante, Emre Can,Ozil, Sanchez
 
Wachezaji unaowaona ni bora sana uingereza wakienda barca au madrid watakaa bench maisha yao yote.

Kila mchezaji anapambana ainue kiwango pale uingereza akacheze barca au madrid
kama nani vile mkuu?mara ngap madrid wamemtaka Rooney kawatolea nje?uyu beki mbili wa Arsenal(bellerini)mbna kakataa kwenda Barca
hebu tupe mfano wako ni mchezaji gani bora hata Useme China kama rafiki yangu Diego costa.
 
Hebu eleza ni makocha wangapi wametoka uingereza wakatikisa huko kwingine!
Moyes alienda real sociedal,Neville Valencia walishindwa kuperform kutokana na aina ya wachezaji waliowakuta timu hazina uwezo wa kusajili wachezaji wakubwa Sasa mtu kama Guardiola anakosa nini?
 
vp ya Barcelona Na Las Palmas hukuona ufundi wa Boateng nn?
Sasa timu kama Atl Madrid kuna ufundi gani pale zaidi ya kupaki mzigo
 
EPL ni kipimo tosha kwa wachezaji na makocha!!muulize Gurdiola anaelewa vizuri mziki wa EPL ligi yenye changamoto za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…